Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Vipi red zimetoka ngapi kwa chelsea!?Barcelona ni klabu bora kwa miaka kadhaa lakini leo watakapokuwa darajani dhidi ya Chelsea na hata mechi ya Marudiano baada ya majuma mawili pale Nou Camp sitegemei maajabu yoyote ya Barcelona kuibuka na ushindi kama Chelsea watakuwa wametimia. Kwa mbinu za Conte zinatosha kabisa kuwapa nafasi Chelsea kufanya vyema dhidi ya Barca.
Pamoja na Chelsea kuwa na fomu mbaya kwa siku za karibuni, Barcelona bado hana uwezo wa kupata ushindi, njia pekee ni Chelsea apate red card na ndipo Barca ataibuka na ushindi.
Povu ruksa...
Messi akiwa anakuja langoni haji peke yake anakuja na kitu kitaalamu tunaita Malipapastas Lutervadiacsa athari zake ni kipa kutokwa jasho..kupanua miguu na papo hapo anaanza pia kumuona De Lima.. Gaucho na Pele kwa mbaali.Kweli ni ukweli mchungu
Messi Stats
Pasi 197
Drible Distance 4km
Gaols 2
Assist 1
Tobo 2
Vyenga = mpaka waja wanaanguka
Unafikiri atarudi kwenye huu uzi wake, thubutuZamu yako kutoa povu ww mtoa mada
Konokono kakimbia nyumba yakeUnafikiri atarudi kwenye huu uzi wake, thubutu
Na imekuwa hivyoMechi za uefa kati ya Chelsea na barca,anaeanza nyumbani lazima atoke
Mlishinda ngapi Chelsea?Barcelona hamna kitu leo anashishiwa mzigo wa 4G
Daah kweli hater tunao wa kutoshaBarcelona hamna kitu leo anashishiwa mzigo wa 4G
Hujisikii aibu hivi?!Labda Uefa ya huko kwenu Geita
Pumbavu...Vipi red zimetoka ngapi kwa chelsea!?