Ukweli Mchungu: Bila red card, Barcelona hatomfunga Chelsea!

Ukweli Mchungu: Bila red card, Barcelona hatomfunga Chelsea!

Barcelona ni klabu bora kwa miaka kadhaa lakini leo watakapokuwa darajani dhidi ya Chelsea na hata mechi ya Marudiano baada ya majuma mawili pale Nou Camp sitegemei maajabu yoyote ya Barcelona kuibuka na ushindi kama Chelsea watakuwa wametimia. Kwa mbinu za Conte zinatosha kabisa kuwapa nafasi Chelsea kufanya vyema dhidi ya Barca.

Pamoja na Chelsea kuwa na fomu mbaya kwa siku za karibuni, Barcelona bado hana uwezo wa kupata ushindi, njia pekee ni Chelsea apate red card na ndipo Barca ataibuka na ushindi.

Povu ruksa...
Vipi red zimetoka ngapi kwa chelsea!?
 
Kweli ni ukweli mchungu

Messi Stats
Pasi 197
Drible Distance 4km
Gaols 2
Assist 1
Tobo 2
Vyenga = mpaka waja wanaanguka
Messi akiwa anakuja langoni haji peke yake anakuja na kitu kitaalamu tunaita Malipapastas Lutervadiacsa athari zake ni kipa kutokwa jasho..kupanua miguu na papo hapo anaanza pia kumuona De Lima.. Gaucho na Pele kwa mbaali.
 
Siku ZOTE INGE,, NINGE,, TUNGE,, huja baada ya MAJUTO
 
Back
Top Bottom