Ukweli mchungu: CHADEMA inapoteza Tena hili la Viti maalum

Ukweli mchungu: CHADEMA inapoteza Tena hili la Viti maalum

Threads zingine ni michosho tupu, hao covid 19 hata wakiwa wabunge wa mahakama kwa chadema sio tatizo, shida ya chadema ni kuonyesha supporters wake kuwa haihusiki na haijabariki uhuni huu full stop!
Huna sappoters wewe na Kama ungekuwa viongozi waliposema muandamane mngejitokeza
 
Thread sio michosho hapa chadema ndio michosho hivi chama hakina wachunguzi wake mpaka inafikua wanachama 19 wanajikusanya na kufika dodoma bila uongozi kuwa na taarifa hiki chama bure kabisa
Kwa akili ndogo unahisi chama kilikuwa hakifahamu, kama toka Nov 3 kigogo alilifahamu hili sembuse chama? Kitu kimoja usichokifahamu hata mie Leo nikifahamu kuwa wiki ijayo umedhamiria kuachana na mmeo, kitakochoweza kuzuia tukio hilo ni dhamira yako kughairi au Mimi nikuue, sasa ulitaka chadema iwauwe hao covid19 ili wasiende kuapa wkt nafsi zao zilidhamiria hivyo?
 
Sisi sote ni mashahidi sakata la Akina komu, Mwambe, lijua likali,n.k

Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina mdee,

Lakini Baadae "hao" waliowateua wakapeleka "zuio" huko mahakamani na
"Monita" akasimama hadharani kuwa atawalinda kwa nguvu zote na anawatambua kama wabunge...

Mnadhani na kamati kuu yenu mtafanya Nini?

Believe me mpaka mtu anatolewa jela na kwenda kuapa,

Hii mbugi ishakuwa calculated!

Chadema mmepoteza game,

Halafu huwezi jua mdee 'iron' lady pamoja na wenzake wameahidiwa Nini!

Maana kutoka kuvunjwa mkono plus kuibiwa Kura halafu ghafla tu watu wanaibukia mjengoni huwezi jua,
Labda tusubiri sapraizi nyingine?

Tunataka tupoteze zaidi. Tuna uhakika na wananchi na wananchi wanauona upuuzi wote.
 
Huna sappoters wewe na Kama ungekuwa viongozi waliposema muandamane mngejitokeza

Huwezi kupima support kwa njia ya maandamano kwenye kundi la wananchi waoga. Support nzuri tumeiona wakati wa kampeni. Na kwenye box la kura tumeuona uhuni wote wa jiwe wa matumizi mabaya ya madaraka.
 
Huna sappoters wewe na Kama ungekuwa viongozi waliposema muandamane mngejitokeza
Sapotaz wapo wengi sana ila hakuna aliyetayari kwenda kwenye maandamano yanayotawanywa kwa risasi za moto, ni bora mkwere alitawanya kwa majiwasha na mabomu ya machozi sio huyu katili wa kihutu!
 
Inapendeza Sana kama Chama kitajiendesha kama taasisi huru....hakuna atakae kuwa mkubwa kuliko Chama.... katiba ndio itumike kuendesha chama...watu watakuja na kuondoka....yeyeto anaeenda kinyume cha katiba ahukumiwe kwa kufuata katiba.,...hii ya kukimbilia mahakamani waachiwe wawo...ni haki yao pia...cha msingi katiba na heshima ya chama ilindwe kwa nguvu zote.
 
Bwana Fake ID upo hapa kushabikia a dysfunctional government rotten to the core,isiyofuata katiba umma iliyoiweka kwa maslahi yake mapana kwa vizazi vya sasa na vifuatavyo..Tabia mbaya sana ya impunity

Sababu wana power ambayo wamepewa na wananchi kama custodians with set of rules to follow and dispense hiyo power kwa prosperity ya jamii nzima

Wewe upo hapa unakenua mimeno kwa hawa vichaa na majuha kwenda totally kinyume kwa kufuata conviniences za ujinga wao wenyewe in total disregard of the people and the law?

Ni ujinga kabisa....ningekuelewa kama ungekua humu kuangalia haya matendo kama ni wrong against our own laws na ni only monkeys wanaoweza kufanya

Kama sheria zetu wenyewe tunashindwa kuzifuata sidhani kama international laws and order tunaweza fuata as people

Sidhani kama tunaweza aminiwa kimikataba na mataifa mengine kama tupo erratic namna hii

Magufuli na his group of good for nothing minions wana kazi kubwa sana ya kujifunza to be in order and execute our own shughulis with respect and dignity and respect for human rights and decency

Hamna mfano hapa,ni total nonsense
Yaani ndugu Mimi nimesema tu ukweli mchungu kuwa hii mbugi chadema hawatoboi... Haina maana naunga mkono!
 
Halafu huwezi jua mdee 'iron' lady pamoja na wenzake wameahidiwa Nini!

Maana kutoka kuvunjwa mkono plus kuibiwa Kura halafu ghafla tu watu wanaibukia mjengoni huwezi jua,
Labda tusubiri sapraizi nyingine?
Hapa umenena kitu. Ni kweli hatuwezi jua walichoahidiwa
 
CHADEMA haina viongozi makini bali inaendeshwa na losers na negative minds waliojazana mitandaoni!
Si ajabu wakatoa uamuzi wa kuwafukuza akina Halima Mdee. Acha wakate mti walioukalia!

We ulitakaje? Wasaliti waachwe?
 
Thread sio michosho hapa chadema ndio michosho hivi chama hakina wachunguzi wake mpaka inafikua wanachama 19 wanajikusanya na kufika dodoma bila uongozi kuwa na taarifa hiki chama bure kabisa
kama movement ilipangwa na watu wa juu yao zaidi ? we unajuaje kwamba hawana intelijensia yao ?
 
Sisi sote ni mashahidi sakata la Akina komu, Mwambe, lijua likali,n.k

Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina mdee,

Lakini Baadae "hao" waliowateua wakapeleka "zuio" huko mahakamani na
"Monita" akasimama hadharani kuwa atawalinda kwa nguvu zote na anawatambua kama wabunge...

Mnadhani na kamati kuu yenu mtafanya Nini?

Believe me mpaka mtu anatolewa jela na kwenda kuapa,

Hii mbugi ishakuwa calculated!

Chadema mmepoteza game,

Halafu huwezi jua mdee 'iron' lady pamoja na wenzake wameahidiwa Nini!

Maana kutoka kuvunjwa mkono plus kuibiwa Kura halafu ghafla tu watu wanaibukia mjengoni huwezi jua,
Labda tusubiri sapraizi nyingine?
Yaani ile tu kwamba serikali ya JPM imejikuta inafanya upuuzi wa aina hiyo na kiwango hicho, tayari ni ushindi mnono kwa CHADEMA. Kwa vipi?
1) ni ushahidi kwamba wamejikuta kwenye kona mbaya sana. Swali ni je, waliingiaje kona hiyo? Jibu ni kwamba magumashi ya uchaguzi yalikuwa kiwango cha kufa mtu. Kama wao wanaamini kwamba ushindi wao ulikuwa halali, kwa nini wahangaike? Basi kumbe hata nao hawaamini wameshinda kihalali.

2) badala ya kushangilia kwamba wamefaulu hatimaye kuondoa "uchafu" bungeni, kumbe sasa wanahangaika kuurejesha "uchafu" huo?

3) sasa hivi utamu wooote wa ushindi, kama ulikuwepo, sasa hakuna. Jumuiya ya kimataifa ndio kabisaaa hawatatuelewa. Najua wapo wanaodhani Magufuli hajali wengine wanasemaje. Kama ingekuwa hivyo, Magu asingeharakisha kuteua waziri wa mambo ya nje tena kwa kukiuka katiba. Macho yote nje wanasemaje
 
Yani CHADEMA nilikuwa nakiamini na kukipigania,but sasa ni chama cha hovyo kabisa.Nitakaa tu bila ufuasi wowote ule
 
Bwana Fake ID upo hapa kushabikia a dysfunctional government rotten to the core,isiyofuata katiba umma iliyoiweka kwa maslahi yake mapana kwa vizazi vya sasa na vifuatavyo..Tabia mbaya sana ya impunity

Sababu wana power ambayo wamepewa na wananchi kama custodians with set of rules to follow and dispense hiyo power kwa prosperity ya jamii nzima

Wewe upo hapa unakenua mimeno kwa hawa vichaa na majuha kwenda totally kinyume kwa kufuata conviniences za ujinga wao wenyewe in total disregard of the people and the law?

Ni ujinga kabisa....ningekuelewa kama ungekua humu kuangalia haya matendo kama ni wrong against our own laws na ni only monkeys wanaoweza kufanya

Kama sheria zetu wenyewe tunashindwa kuzifuata sidhani kama international laws and order tunaweza fuata as people

Sidhani kama tunaweza aminiwa kimikataba na mataifa mengine kama tupo erratic namna hii

Magufuli na his group of good for nothing minions wana kazi kubwa sana ya kujifunza to be in order and execute our own shughulis with respect and dignity and respect for human rights and decency

Hamna mfano hapa,ni total nonsense
Yaani kwa hili unajiona una akiliiiiiiiii
 
Muda ni mrefu sana (miaka mitano) Ndugai hawezi kuwalinda kama akina komu ila atawalinda kwa njia tofauti.Watakwenda Mahakamani na mahakama itaendesha hiyo kesi miaka mitano au mahakama itaamua wameshinda na warudishiwe uanachama na wakati kesi ikiendelea Ndugai atasema waendelee na ubunge.
 
Sisi sote ni mashahidi sakata la akina Komu, Mwambe, Lijualikali,n.k

Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina Mdee lakini baadaye "hao" waliowateua wakapeleka "zuio" huko mahakamani na
"Monita" akasimama hadharani kuwa atawalinda kwa nguvu zote na anawatambua kama wabunge.

Mnadhani na kamati kuu yenu mtafanya nini?

Believe me mpaka mtu anatolewa jela na kwenda kuapa, hii mbugi ishakuwa calculated!

CHADEMA mmepoteza game, halafu huwezi jua Mdee 'iron' lady pamoja na wenzake wameahidiwa nini!

Maana kutoka kuvunjwa mkono plus kuibiwa kura halafu ghafla tu watu wanaibukia mjengoni huwezi jua.

Labda tusubiri sapraizi nyingine?
Kuwaacha chadema itadharaulika na kufariki kama CUF ya Lipumba lakini wakifukuzwa chadema itaheshimika zaidi na kupata wafuasi wapya wazuri zaidi
 
Back
Top Bottom