Ukweli mchungu: CHADEMA inapoteza Tena hili la Viti maalum

Bora iwe hivyo lakini heshima ya chadema itaongezeka maradufu lakini chadema ikijichanganya ikawaacha itambue kuwa ndiyo bye bye inaenda kufa kifo kibaya kama CUF ya Lipumba TLP NCCR UDP DP na vyama vya akina Dovutwa Hashim Rungwe
 
Huu mchezo unajulikana vyema na uongozi wote wa CHADEMA akiwamo Katibu Mkuu. Ilikuwa ni gia tu ya kuingilia bungeni, wala hawatafukuzwa
Endapo chadema haitawafukuza akina mdee itambue kuwa itadharaulika mno kote Duniani na ndiyo mwanzo wa kusambaratika na kuwa chama mwisho Duniani
 
Fukuza.Waenda kuunga mkono juhudi.

Katiba inatambua vyama vingi.Vitakuja vyama vingine kutetea maslai ya mlala hoi.

Sasa hivi mlala hoi ata akipilipa kiasi gani katika bima ya afya ( NHIF) hapati huduma za tiba ya saratani
 
Nani aliyemuibia mdee kura mkuu mbona huwa mnajitoa ufaham kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…