Ukweli mchungu: Chama kafeli ligi ya Morocco

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
.
Niliposikia na kuona Aliyekuwa mchezaji wa Yanga Sc ya Tanzania [emoji1241] na Olympics Khouriba ya [emoji1173] kusajiliwa na klabu kubwa kama Renaissance Sportive de Berkane "Wafalme wa Falme Machungwa" nikajisemea mwenyewe.
.
BONGO TUNADUMAZWA NA
1- Uvivu wa kujituma
2- Uvivu wa Kutafakari
3- Kukosa Marafiki na washauri sahihi kufanikiwa
4- Ulimbukeni wa jamii ya kidigitali kuwarahishia maisha Watu WALIOONJA MAFANIKIO wakawabweteza kwa sifa , Starehe ilhali bado wana umasikini bila future
5- Tumeendekeza Misumari sana kwa chuki na Husda katika Industry.

Siwalaumu ila kuna eneo hatuko Sawa na sio wakweli sababu tunawaza leo na mbele ya ncha ya Pua na HATUJALI.

KUNA MUDA SISHANGAI WACHEZAJI BORA KUFELI LIGI YA TZ WAKADUMU KATIKA SOKA USHINDANI HUKU WATWANA WETU WAKIISHIA KWA LIKES NA FOLLOWERS NA WANAISHIA HAPA HAPA.

Leo naona Fiston Abdulrazak aliyewahi kuchuana na Odion Ighalo wa Nigeria magoli kimataifa anafeli Yanga Sc ila MVP anashindwa Batola Pro ambayo Aliyefeli Yanga aliweza kuhama toka Olympic Khouriba ya Morocco na kuwa replacement yake RS Berkane.
.
Kizazi bora hili Taifa wameelewa ama watasubiri kushawishiwa na madalali na influencers wasio na INFINITY GAME THEORY ?
.
Nimekufikirisha .
Ukiona Ni wimbo wako Shukrani.
 
Takwimu za Chama akiwa huko Morocco zikoje?
 
Chama kuondoka Morroco kuna mengi nyuma yake ndg
Mchezaji hawez kuwa mchezaji bora wa mechi then useme alifail
Naomba nikusaidie kukumbusha kuwa Chama alifiwa na mke miez kadhaa nyuma na akamwachia watoto
So ulezi wa wale watoto na mazinigira ya Moroco olikiwa shida kwake
Pili fatilia ujue mkataba wa simba nq chama swala la watoto lilikuwa priority
Chama amelazimisha kuondoka
 
Mbona ni mambo ya kawaida sana kwa wachezaji?.
Mifano michache- Samata alifeli Aston Villa - Akarudi kule alikotokea. Abdi Banda Alifeli South Africa - Amerejea Nyumbani. Makambo alifeli kwa waarabu karejea Yanga.
Thomas Ulimwengu pia karejea Mazembe. Okwi na nae alifeli Indonesia akarudi.
Tambwe na Kiiza walifeli hapa Bongo wakiambiwa wazee, waliondoka na sasa wamerejea

Ndio maisha yalivyo, kila mtu anaangalia maslahi yake binafsi, nafasi ya kucheza pamoja na mazingira ya nje ya uwanja. Kumbuka huyo Chama ni mtu wa 'tungi' kama ilivyo kwa Jonas Mkude, kule kwa waarabu hakuna mazingira wezeshi ya kwenda kushushia kinywaji kama ilivyo hapa Bongo.
 
Chama mwenye pesa nzuri na maisha bora ?

Wewe umefanikisha lipi maishani mwako?

Kuamua kutoka morocco ni maamuzi yake yeye na hakuachwa.

Tujifunze kuheshimu maisha ya watu!
 
Chama mwenye pesa nzuri na maisha bora ?

Wewe umefanikisha lipi maishani mwako?

Kuamua kutoka morocco ni maamuzi yake yeye na hakuachwa.

Tujifunze kuheshimu maisha ya watu!
Unaelewa alicho andika mleta uzi au umekurupuka? kinachoongelewa kinahusu mpira au maisha ya mtu binafsi?
 
No sio ajabu kwenye football,mbona fiston abdulrazak alifeli yanga na sasa yupo berkane?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwani Chama kufeli ni muujiza?
Au ulifikiri chama ni malaika kwamba hawezi shindwa jambo lolote?
Kwanini chama kawamalizia mawazo hivyo?
1. Ukiwa unakula unamuimba chama.
2. Ukiwa unakunya unamuimba chama.
3.ukiwa ndotoni unamuota chama.
4.Mkeo akirudi toka kwenye michepuko yake unamuimba chama kwamba ndo alikuwa naye.
Tulieni , Chama atawafanya muugue visukari na pressure.
 
1. Alienda Morocco mkewe akiwa hai?
2. Alikua hajui yote hayo kuhusu family?
3. Ni mchezaji peke yake huko Morocco ambae kafiwa na mke?
 
Mnamuandama chama wakati nyinyi mna makambo au alikuwa hapa hapa Tanzania
Mnalalamika chama kurudi kama mnakatwa tozo ya mshahara haya mambo yakutaka kuonekana unacheza ulaya ndo yalimponza farid musa mpaka akijipanga upya akarudi bongo.
 
Hivi ni mimi tu sijaelewa maana kichwa habari na yaliyomo ndani ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…