Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
.
Niliposikia na kuona Aliyekuwa mchezaji wa Yanga Sc ya Tanzania [emoji1241] na Olympics Khouriba ya [emoji1173] kusajiliwa na klabu kubwa kama Renaissance Sportive de Berkane "Wafalme wa Falme Machungwa" nikajisemea mwenyewe.
.
BONGO TUNADUMAZWA NA
1- Uvivu wa kujituma
2- Uvivu wa Kutafakari
3- Kukosa Marafiki na washauri sahihi kufanikiwa
4- Ulimbukeni wa jamii ya kidigitali kuwarahishia maisha Watu WALIOONJA MAFANIKIO wakawabweteza kwa sifa , Starehe ilhali bado wana umasikini bila future
5- Tumeendekeza Misumari sana kwa chuki na Husda katika Industry.
Siwalaumu ila kuna eneo hatuko Sawa na sio wakweli sababu tunawaza leo na mbele ya ncha ya Pua na HATUJALI.
KUNA MUDA SISHANGAI WACHEZAJI BORA KUFELI LIGI YA TZ WAKADUMU KATIKA SOKA USHINDANI HUKU WATWANA WETU WAKIISHIA KWA LIKES NA FOLLOWERS NA WANAISHIA HAPA HAPA.
Leo naona Fiston Abdulrazak aliyewahi kuchuana na Odion Ighalo wa Nigeria magoli kimataifa anafeli Yanga Sc ila MVP anashindwa Batola Pro ambayo Aliyefeli Yanga aliweza kuhama toka Olympic Khouriba ya Morocco na kuwa replacement yake RS Berkane.
.
Kizazi bora hili Taifa wameelewa ama watasubiri kushawishiwa na madalali na influencers wasio na INFINITY GAME THEORY ?
.
Nimekufikirisha .
Ukiona Ni wimbo wako Shukrani.