manonawire
JF-Expert Member
- Dec 31, 2017
- 943
- 1,223
Aisee
"mwanaume ukitaka atulie m.... , au mwanamke tupu yake"
dunia hii inatisha
"mwanaume ukitaka atulie m.... , au mwanamke tupu yake"
dunia hii inatisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ni kuvurugana Tu. Ku na kichaa mmoja nilisikia akitamba anawapeleka wanaume za watu kwa lulenge. Nulupouliza ni pande zipi hizo hapa duniani, lol!! Nilichokumbana nacho ni heri ya sodoma na gomora!Aisee
"mwanaume ukitaka atulie m.... , au mwanamke tupu yake"
dunia hii inatisha
Embu nambie na mm boss maana hizi cjui ndo tasfida sijui rejesta zk9 nyng kweliYaani ni kuvurugana Tu. Ku na kichaa mmoja nilisikia akitamba anawapeleka wanaume za watu kwa lulenge. Nulupouliza ni pande zipi hizo hapa duniani, lol!! Nilichokumbana nacho ni heri ya sodoma na gomora!
Kwa lulenge ndio ile njia haramu mkuu, ni aibu tupu
Kabisa nduguMkuu hapo ni no comment. Ni ukweli mtupu, afu ukiona mada ya muhimu kama hii wachangiaji ni wachache ujue watu tayari wamepata somo, jiwe limerushwa gizani, kila mtu anauguza maumivu yake taratibu.