Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ni mabadiliko ya tabia katika jamii. Choo cha ndani imekua hitaji la muhimu katika ujenzi, wengi wanaweka vyoo viwili au zaidi ndani ya nyumba. Chumba cha bwana wa nyumba kuwa na choo ni muhimu.
Kule kijijini wanakoondokana na nyumba za tembe na nyumba za udongo wanajitahidi kuwa na choo kimoja cha ndani. Kwakifupi wanakueleza ni kwa usalama wao hasa nyakati za usiku kuogopa kuingingiz vibaka ndani ya nyumba na pia nyakati za mvua.
Hata kama hakuna uhakika wa maji tiririka, wanaweka gutters na sim tank la kukikingia maji mvua ikinyesha. Simu za kiangazi wanahakikisha kuna ndoo kadhaa za maji ya chooni.
Wale wanaojenga nyumba za biashara, uhakika wa kupata mpangaji kwa bei nzuri upo ukiwa na chumba na sebule yenye choo na sink la jikoni ndani ya nyumba. Hasa hawa madada wa bongo movie hawataki kuonekana na taulo akienda kuoga.