Halima James Mdee siyo mwanasiasa ni mwanaharakati!Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wanna ccm pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kuusikia, lakini ukweli Ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya chama Cha mapinduzi. Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.
Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.
Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
SawaHalima James Mdee siyo mwanasiasa ni mwanaharakati!
Tofauti yake ni nini?Halima James Mdee siyo mwanasiasa ni mwanaharakati!
"Mbona amewekwa kwenye baraza la mawaziri lijalo?"Halima James Mdee siyo mwanasiasa ni mwanaharakati!
Aisee kumbe ndiyomaana mmemuapisha pale gereji?Halima James Mdee siyo mwanasiasa ni mwanaharakati!
Ni kwasababu huko CCM kuna uhaba mkubwa mnoo wa watu wenye sifa za uongozi."Mbona amewekwa kwenye baraza la mawaziri lijalo?"
Hizo ni porojo za Ufipa!"Mbona amewekwa kwenye baraza la mawaziri lijalo?"
SI MUMEWATUKANA KUWA NI COVID 19, KWA NINI BADO MUNAWEWESEKA NDOTONI HUKO UFIPANI?? MUWAACHE WAMAMA WA WATU. MUMESHA WATIMUA KWENYE CHAMA CHENU, YANINI KUWASHINDISHA MIDOMONI MWENUU???Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana ccm pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli Ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya chama Cha mapinduzi. Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.
Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.
Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
Aisee kumbe ndiyomaana mmemuapisha pale gereji?
Na ukiulizwa ati tofauti kati ya mwanaharakati na mwanasiasa utasemaje?Halima James Mdee siyo mwanasiasa ni mwanaharakati!
Ndio maana nimeuita ukweli Mchungu maana kwa baadhi yenu Ni ngumu kumezaSI MUMEWATUKANA KUWA NI COVID 19, KWA NINI BADO MUNAWEWESEKA NDOTONI HUKO UFIPANI?? MUWAACHE WAMAMA WA WATU. MUMESHA WATIMUA KWENYE CHAMA CHENU, YANINI KUWASHINDISHA MIDOMONI MWENUU???
NA BADO MTAJUTAA MAAAMUZI YA KUKURUPUKA HUWA YANAMAUMIVU SAAANAA. VUMILIENIIINdio maana nimeuita ukweli Mchungu maana kwa baadhi yenu Ni ngumu kumeza
Kama ana akili achutame tuu akae pembeni hata huko chadema kwenye asirudi na ccm asiende atulie huu upepo upite kwanza tope likauke bila hivyo atazidi kudondoka na kuchafuka asiwe na haraka za safariYawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana ccm pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli Ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya chama Cha mapinduzi. Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.
Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.
Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
Sio lazima apewe nafasi ya kisiasa, anaweza kupumzushwa ubalozini au kazi nyingine za kiutendaji serikalini chini ya uangalizi.Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana ccm pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli Ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya chama Cha mapinduzi. Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.
Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.
Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
Chadema ina hazina kubwa Sana ya wanawake kwa hiyo usitegemee Halima ameacha pengo lolote. Waliondoka akina Dr Slaa, Zitto, Kitila, N.k lakini Chadema bado imekuwa tishioNA BADO MTAJUTAA MAAAMUZI YA KUKURUPUKA HUWA YANAMAUMIVU SAAANAA. VUMILIENIII