Ukweli Mchungu: Halima Mdee hawezi kukubalika kwa wanachama wa CCM ndani ya CCM

Ukweli Mchungu: Halima Mdee hawezi kukubalika kwa wanachama wa CCM ndani ya CCM

CCM Halima ni asset na siyo liability. Ila mwenyekiti wenu anavyopenda mambo ya faragha na viongozi wa kike, kwa Halima atang’ata flat.
 
Hao imebaki historia mkuu, Wala Hakuna Chadema anayewaota
Kwaniini hamchoki kuwaota kama ni historia? Simumewatimua kwa matusi makubwa?? Hatabila ya kuwasikiliza? Waaachenikuwasengenya wamama wawatuuu.
Kwani wewe wanakuhusu nini?.Mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
We we chadema ndo tukuulize wanakuhusu nini watu amabao umewatimua kwa kuwasindikiza na tusi baya lakuwafananisha na gonjwa la covid 19. Hao watu hawawahusu tena nyie, maana hamuwataki tenaaa. Mumewadhalilisha vya kutoshaaa, sasa yanini kushinda mnawasengenya??
 
SI MUMEWATUKANA KUWA NI COVID 19, KWA NINI BADO MUNAWEWESEKA NDOTONI HUKO UFIPANI?? MUWAACHE WAMAMA WA WATU. MUMESHA WATIMUA KWENYE CHAMA CHENU, YANINI KUWASHINDISHA MIDOMONI MWENUU???
Inabidi watoe press ya kujiunga CCM wataachwa
 
Kwaniini hamchoki kuwaota kama ni historia? Simumewatimua kwa matusi makubwa?? Hatabila ya kuwasikiliza? Waaachenikuwasengenya wamama wawatuuu.

We we chadema ndo tukuulize wanakuhusu nini watu amabao umewatimua kwa kuwasindikiza na tusi baya lakuwafananisha na gonjwa la covid 19. Hao watu hawawahusu tena nyie, maana hamuwataki tenaaa. Mumewadhalilisha vya kutoshaaa, sasa yanini kushinda mnawasengenya??
Wanaopaswa kulalamika ni wao na sio wewe;Hivi mimba abebe mwingine wewe kichefu chefu kinakupataje?.Au ndio kutafuta Bwana wa kukushughulikia?.Tuliza mshono yasiyokuhusu achana nayo.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Wanaopaswa kulalamika ni wao na sio wewe;Hivi mimba abebe mwingine wewe kichefu chefu kinakupataje?.Au ndio kutafuta Bwana wa kukushughulikia?.Tuliza mshono yasiyokuhusu achana nayo.

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Kwani we we unayewaota na kuweweseka umetumwa na chama chakoo?? Hovyokabisaaa. Waaacheniii wamama wawatu watuliee, mumewadhalilisha vyakutosha, au mumetumwa na chama muendelee kuwatukana tena hao wabunge wasiokuwa na chama?
 
Kwa maelezo ya Mbowe, Halima na wenzie bado wana options mbili za kurudi kundini

1) Waandike barua kuomba radhi
2) Wakate rufaa ili kesi yao iende kwenye Mkutano Mkuu wa Chama

Kwa kuwa siasa za Bongo hazieleweki na kwa kuwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu kwenye siasa, lolote linaweza kutokea.
The best option available for Mdee is to go back to CDM.. Mambo ya kuunga juhudi ni kujitafutia stress ya kudumu, maana haiko kwa damu yake, so atalazimika kuwa mnafiki daima
 
Yawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana CCM pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya Chama Cha Mapinduzi.

Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.

Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.

Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
Alikubalika slaa,seuze mdee
 
Baada ya miaka 2 atakuwa amefutika rasmi
 
Kama ana akili achutame tuu akae pembeni hata huko chadema kwenye asirudi na ccm asiende atulie huu upepo upite kwanza tope likauke bila hivyo atazidi kudondoka na kuchafuka asiwe na haraka za safari
Njaaa.... atulie apitwe wakati waunga juhudi wanawahi vyeo, mishahara, na magari. Maisha ya raha yapo CCM ya Magufuli kunako tapantwa hovyo kodi zetu.
 
Chadema ina hazina kubwa Sana ya wanawake kwa hiyo usitegemee Halima ameacha pengo lolote. Waliondoka akina Dr Slaa, Zitto, Kitila, N.k lakini Chadema bado imekuwa tishio
unaelewa maana ya tishio??
 
Sio lazima apewe nafasi ya kisiasa, anaweza kupumzushwa ubalozini au kazi nyingine za kiutendaji serikalini chini ya uangalizi.

Zipo njia 1000 za kumnasa Nyumbu🙂
Halima Mdee alikuwa anapambana apate ubunge Kawe. Angepata yote haya yasingetokea. Hata kusema mfumo dume isingekuwepo.
Ccm wanaojifanya kumtetea wangekuwa wanampa majina ya kumkebehi. Sasa leo ndo hivo.

Unajua ni mfadhaiko wa akili uliwakumba baada ya figisu zilizowakuta. Mtu akichanganyikiwa anaweza kufanya chochote hata aweza kujiua.

Hawa wamama walifanya kazi kubwa sana chadema na waovu wengi na kbilisi hawakufurahia.

Tatizo lao ni kuamini ubunge usingewatoka na hawakuwa wamejiandaa kwa hili ambalo pia lina mchango wa ibilisi muovu.

Ilipotokea ikawachanganya wasipate kujua pakutokea.

Ibilisi naye akapata upenyo. "Nisujudu nami nitakupa milki hii yote." Kama vile hawaamini wakaona mlango wa kutokea umefunguka gjafla wakaingia, kumbe unaelekea jehanam!

Tukiachana na hayo, suluhisho lenye tija kwao na chama na wapenzi wao ni kurudi na kuomba msamaha.

Wasiogope, wakifanya hivo pia watawaumbua ibilisi na wafuasi wake wanaojifanya kuwatetete leo wakati walipokuwa wakipigwa vibaya na kuswekwa mahabusu walishangilia na kuwakebehi kwa majina mabaya mabaya! Mimi naona wana nafasi na hata mwenyekiti wao kasema. Hawa wamama ni muhimu sana. Kila mtu anajua hata shetani anakiri. Upande wao ni huu wa hoja kinzani kwingine wanajidanganya tu, hawatadumu.
 
Chadema ina hazina kubwa Sana ya wanawake kwa hiyo usitegemee Halima ameacha pengo lolote. Waliondoka akina Dr Slaa, Zitto, Kitila, N.k lakini Chadema bado imekuwa tishio
Umemtaja Kitila aisee. Nimeona akihutubia akisema ccm iawatetea wanyonge. Leo hii kina halima wanawaona wanyonge. Wakati ule Halima alipigwa vibaya na kuswekwa ndani hakuwa mnyonge! Wanamchi walichanga senti senti wakawatoa ndani. Mhh!
 
Tofauti yake ni nini?
Kama unafahamu na kutofautisha matendo ya Mbowe na Lissu, hapo ni rahisi kuona mwanasiasa na mwanaharakati katika siasa.
Wate hao ni viongozi wakuu wa CHADEMA, ila mmoja ametulia anajibu hoja kwa hoja, bila ya jaziba na anakuwa na msisitizo kwa kile anacho kiamini - pia anatumia ushawishi kusudi wale ambao hawaoni kama yeye nao wafumbuke macho wamfuate. Wakati huo huo mwingine analazimisha watu wamfuate yeye - la sivyo ataitisha mgomo, atawashitaki kwenye vyombo vya kimataifa, ataswaga watu barabarani! Ukikataa maoni yake anakutukana matusi kibao! Akishindwa kumconvice mtu anazira, anasaga meno na kukimbilie nje! Anatumia mbinu za ulaghai na hasa anapenda kufadhiliwa na kutumia hela za wanaomtuma!
Ukiwaelewa hao watu wawili mashuhuri wa CHADEMA, utakuwa umeelewa tofauti kati ya mwanasiasa na mwanaharakati!
Mbowe = mwanasiasa
Lissu = mwanaharakati
 
Back
Top Bottom