Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kwani wewe wanakuhusu nini?.Mambo ya Ngoswe muachie NgosweHaaaahaaaaa mnatapatapa nyieeee. Watu mumewatimua kwa mbwembwe na jazba, sasakwa nini mnawashindisha midomoni mwenuuuu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe wanakuhusu nini?.Mambo ya Ngoswe muachie NgosweHaaaahaaaaa mnatapatapa nyieeee. Watu mumewatimua kwa mbwembwe na jazba, sasakwa nini mnawashindisha midomoni mwenuuuu??
Mkuu mimi sio CCM,ungejua ninavyoichukia!!!!.Nazungumzia UraisWakina shoza na waitara mmewapa mpaka uwaziri
Kwaniini hamchoki kuwaota kama ni historia? Simumewatimua kwa matusi makubwa?? Hatabila ya kuwasikiliza? Waaachenikuwasengenya wamama wawatuuu.Hao imebaki historia mkuu, Wala Hakuna Chadema anayewaota
We we chadema ndo tukuulize wanakuhusu nini watu amabao umewatimua kwa kuwasindikiza na tusi baya lakuwafananisha na gonjwa la covid 19. Hao watu hawawahusu tena nyie, maana hamuwataki tenaaa. Mumewadhalilisha vya kutoshaaa, sasa yanini kushinda mnawasengenya??Kwani wewe wanakuhusu nini?.Mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Inabidi watoe press ya kujiunga CCM wataachwaSI MUMEWATUKANA KUWA NI COVID 19, KWA NINI BADO MUNAWEWESEKA NDOTONI HUKO UFIPANI?? MUWAACHE WAMAMA WA WATU. MUMESHA WATIMUA KWENYE CHAMA CHENU, YANINI KUWASHINDISHA MIDOMONI MWENUU???
Wanaopaswa kulalamika ni wao na sio wewe;Hivi mimba abebe mwingine wewe kichefu chefu kinakupataje?.Au ndio kutafuta Bwana wa kukushughulikia?.Tuliza mshono yasiyokuhusu achana nayo.Kwaniini hamchoki kuwaota kama ni historia? Simumewatimua kwa matusi makubwa?? Hatabila ya kuwasikiliza? Waaachenikuwasengenya wamama wawatuuu.
We we chadema ndo tukuulize wanakuhusu nini watu amabao umewatimua kwa kuwasindikiza na tusi baya lakuwafananisha na gonjwa la covid 19. Hao watu hawawahusu tena nyie, maana hamuwataki tenaaa. Mumewadhalilisha vya kutoshaaa, sasa yanini kushinda mnawasengenya??
SureInabidi watoe press ya kujiunga CCM wataachwa
Utasikia "Wewe Halima,nakupendea sauti yako ya zege".CCM Halima ni asset na siyo liability. Ila mwenyekiti wenu anavyopenda mambo ya faragha na viongozi wa kike, kwa Halima atang’ata flat.
Kwani we we unayewaota na kuweweseka umetumwa na chama chakoo?? Hovyokabisaaa. Waaacheniii wamama wawatu watuliee, mumewadhalilisha vyakutosha, au mumetumwa na chama muendelee kuwatukana tena hao wabunge wasiokuwa na chama?Wanaopaswa kulalamika ni wao na sio wewe;Hivi mimba abebe mwingine wewe kichefu chefu kinakupataje?.Au ndio kutafuta Bwana wa kukushughulikia?.Tuliza mshono yasiyokuhusu achana nayo.
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Wewe ni nani?Halima James Mdee siyo mwanasiasa ni mwanaharakati!
The best option available for Mdee is to go back to CDM.. Mambo ya kuunga juhudi ni kujitafutia stress ya kudumu, maana haiko kwa damu yake, so atalazimika kuwa mnafiki daimaKwa maelezo ya Mbowe, Halima na wenzie bado wana options mbili za kurudi kundini
1) Waandike barua kuomba radhi
2) Wakate rufaa ili kesi yao iende kwenye Mkutano Mkuu wa Chama
Kwa kuwa siasa za Bongo hazieleweki na kwa kuwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu kwenye siasa, lolote linaweza kutokea.
Halima James Mdee siyo mwanasiasa ni mwanaharakati!
Mzee baba Halima akihamia ccm atawabandua sana cwt
Alikubalika slaa,seuze mdeeYawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana CCM pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.
Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.
Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
Baada ya miaka 2 atakuwa amefutika rasmiYawezekana hiki Ni kitu ambacho baadhi ya wana CCM pamoja na Mdee mwenyewe wasingependa kukisikia, lakini ukweli ni kwamba Hata Kama Halima Mdee atahamia CCM, hawezi kuaminika ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Hii Ni kutokana na namna wengi wanavyomfahamu Mdee, hivyo wengi wanaamini cheo itakuwa ndio sababu ya kuhamia CCM na siyo mapenzi ya chama.
Kwa ufupi mwisho wa umaarufu wa Halima Mdee kwenye Siasa za Tanzania unakaribia kufika tamati.
Tusubirie tuone mwisho wa picha hii.
Njaaa.... atulie apitwe wakati waunga juhudi wanawahi vyeo, mishahara, na magari. Maisha ya raha yapo CCM ya Magufuli kunako tapantwa hovyo kodi zetu.Kama ana akili achutame tuu akae pembeni hata huko chadema kwenye asirudi na ccm asiende atulie huu upepo upite kwanza tope likauke bila hivyo atazidi kudondoka na kuchafuka asiwe na haraka za safari
unaelewa maana ya tishio??Chadema ina hazina kubwa Sana ya wanawake kwa hiyo usitegemee Halima ameacha pengo lolote. Waliondoka akina Dr Slaa, Zitto, Kitila, N.k lakini Chadema bado imekuwa tishio
Halima Mdee alikuwa anapambana apate ubunge Kawe. Angepata yote haya yasingetokea. Hata kusema mfumo dume isingekuwepo.Sio lazima apewe nafasi ya kisiasa, anaweza kupumzushwa ubalozini au kazi nyingine za kiutendaji serikalini chini ya uangalizi.
Zipo njia 1000 za kumnasa Nyumbu🙂
Umemtaja Kitila aisee. Nimeona akihutubia akisema ccm iawatetea wanyonge. Leo hii kina halima wanawaona wanyonge. Wakati ule Halima alipigwa vibaya na kuswekwa ndani hakuwa mnyonge! Wanamchi walichanga senti senti wakawatoa ndani. Mhh!Chadema ina hazina kubwa Sana ya wanawake kwa hiyo usitegemee Halima ameacha pengo lolote. Waliondoka akina Dr Slaa, Zitto, Kitila, N.k lakini Chadema bado imekuwa tishio
Kama unafahamu na kutofautisha matendo ya Mbowe na Lissu, hapo ni rahisi kuona mwanasiasa na mwanaharakati katika siasa.Tofauti yake ni nini?