Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 566
- 1,583
Wasalaam ndugu wana JF!
Nisikuchoshe, usinichoshe, tusichoshane. Twende kwenye mada yetu moja kwa moja
Kwa wale waumini wa dini karibu zote duniani yaani ukristo, uislam, Uyahudi, Wabuddha, Wahindu, Washinto na ata hizi dini za Mababu zetu zote zinaamini kwenye kutoa sadaka/Zakkah.
Sadaka/Zakkah iliyo na nguvu kuliko zote ni sadaka ya damu au kuchinja, hii inapomwagika chini lazima irudi na matokeo ata iweje damu ya mnyama/binadamu uwa inalia ata Kama itachukua miaka mingapi.
Ibrahim alichinja wanyama kama sadaka kwa Mola wake.
Mtume Muhammad (S.A.W) alimwaga damu Kama sadaka kwa mola wake.
Mungu alimtoa mwanae Yesu (Kwa wakristo) kama sehemu ya upendo wake kwa wana adam.
Tuendelee na mjadala wetu.
Hii hali ya kuwateka, kuwatesa, kuwadhalilisha, kuwachafua na mwisho kuwauwa viongozi mbali mbali wa CHADEMA Inaleta picha mbaya kwa Taifa hili iwe kwa wanadam na ata kwa mola wetu.
Chochote kile kinachofanyika jua kina matoke na matokeo yake yanaweza kuwa mabaya au mazuri
Hizi damu zinazomwagika ni gharama ambazo lazima viongozi wa CHADEMA wanapaswa wazilipe wapende au wasipende kwa sababu hakuna mabadiliko yanayoweza kutokea pasipokuwa na maagano na maagano makubwa ni ya damu.
Serikali na CCM kwa ujumla wanapaswa waelewe kuwa hii hali inayoendelea hapa nchini,majirani kama Kenya au Rwanda au nchi za Magharibi hasa Mabepari wanaweza wakaanza kuwafadhili CHADEMA financially au militarily na mwisho wa siku uhasi ukaanza kutokea hapa Nchini.
Kuna siku hawa viongozi wanaweza wasiwepo mamlakani ,lakini vizazi vyao vikaja vikatumikia adhabu za watangulizi wao mfano; Wahutu na watusi pale Rwanda. Karm is real.
Ninaiona Tanzania ya kesho hasa baada ya miaka 6 hii nchi uwenda tusiwe na CCM tena.
Ni Mimi Kitukuu cha gwiji la mitishamba.
Kinjekitile JR😤