Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Morrison aliposhinda kesi yake ya kimkataba dhidi ya Yanga, mzigo wa lawama uliwaangukia viongozi, hakuna rangi waliacha kuona, hata busara na maridhiano hamkutaka vifanyike. Binadamu hao hao leo wanataka Yanga itumie busara kwenye kesi ya mkataba.
Kwenye hii kesi Wengi walitamani yanga washindwe ili wapate kwa kuanzia bila kuangalia makosa ya upande wa pili kwa Feisal na bado baadhi ya waandishi wanaamini Feisal kaonewa shame!
Tunasafari ndefu sana ya kujenga mpira wetu wakati tukiwanyoshea vidole marefa tukajisahau kama wachezaji wetu na wana matatizo ya kiuelewa tena makubwa sana na ili tufike mbali lazima tukubali kujenga msingi kwa wachezaji wetu kujitambua kuanzia chini mpira sio tena mchezo wa kihuni kama miaka ya nyuma sasa mpira ni biashara ya wazi kwa klabu na Mchezaji pia