Hakuna haja ya kuomba, ni kwamba hataweza kufika hata roboWanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu
Kongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,
Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko
Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo
Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda
Kuingia fainali
Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu
Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
tusubiri kwanzaKongole kwa Simba kwa kufanya vyema miaka sita huko nyuma Kwa kuingia makundi na kuishia robo,
Kongole pia kwa kutinga nusu fainali CL mwaka miaka ya 1970 huko
Sasa tuje leo,wote tupo makundi,wote tutacheza home and away mechi sita na ninajua wote tutaingia robo
Simba ashafika nusu fainali,hivyo Yanga ana kizingiti kimoja tu ambacho Simba nacho kimemshinda
Kuingia fainali
Wanasimba ombeni Yanga asiingie nusu fainali,akifika tu hapo,fainali ni kugusa tu
Sasa swali langu iwapo Yanga ataingia fainali,tena baada ya miaka 25,hizo jitihada zenu zote za miaka sita mfululizo zitakuwa na tija?
Ukiwa hata wa 3 kwenye kundi mkuu uje hapa uniite unitukane utakavyo. Chura atakua wa mwisho kwenye kundi atakalopangiwa🤣🤣🤣🤣 hakuna timu yenye vita kwao utakayo pangiwa tena. Timu za kucheza mechi zote away hahahah subiria kina al ahly nk watakukula chura mbayaKwasasa katika bara zima la Afrika zipo timu chache sana zinazo weza kumzuia Yanga, Nafikiri hazi zidi 3/4 kwaiyo Yanga kucheza nusu fainali ya klabu bingwa msimu huu ni swala la muda tu.
Kibu DenisKwasasa katika bara zima la Afrika zipo timu chache sana zinazo weza kumzuia Yanga, Nafikiri hazi zidi 3/4 kwaiyo Yanga kucheza nusu fainali ya klabu bingwa msimu huu ni swala la muda tu.
Ipo Al ahil ya SudanUkiwa hata wa 3 kwenye kundi mkuu uje hapa uniite unitukane utakavyo. Chura atakua wa mwisho kwenye kundi atakalopangiwa🤣🤣🤣🤣 hakuna timu yenye vita kwao utakayo pangiwa tena. Timu za kucheza mechi zote away hahahah subiria kina al ahly nk watakukula chura mbaya
Huyo hawaiwez kamweIpo Al ahil ya Sudan
😂Ayubu ataifikisha Simba fainali na club Bingwa ya dunia