Ukweli mchungu Karia ana asilimia kubwa ya kushinda ,kila la heri Ally

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Kusema kweli kuna asilimia 90 Karia atakuwa rais ajaye wa TFF.Natamani sana Ally ashinde uchaguzi huu sababu nafahamu ana moyo wa dhati wa kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini na hata Sera zake zinaridhisha lakini huyu Karia atapigiwa kura nyingi na wajumbe.

Hata huyu Imani Madege alijaribu kumfanyia figisu figisu Karia sababu alijua ni threat na ana asilimia kubwa ya kushinda.

Kila la heri Ally
 
Leo utakuwa umetengeneza username kibao kujipa promo
c6b3b4916fc85cc6210e01777b377827.jpg
 
Kusema kweli kuna asilimia 90 Karia atakuwa rais ajaye wa TFF.Natamani sana Ally ashinde uchaguzi huu sababu nafahamu ana moyo wa dhati wa kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini na hata Sera zake zinaridhisha lakini huyu Karia atapigiwa kura nyingi na wajumbe.

Hata huyu Imani Madege alijaribu kumfanyia figisu figisu Karia sababu alijua ni threat na ana asilimia kubwa ya kushinda.

Kila la heri Ally
c24ae3755211e6fd79f5eb70e748be45.jpg
 
Kuna watu wanashindwa kuelewa kura zinapigwa na wajumbe na Karia ana ushawishi kwa wajumbe wale wanajuana

Cha kuomba ni wajumbe waweke mapenzi pembeni la sivyo hakuna jipya
 
Kusema kweli kuna asilimia 90 Karia atakuwa rais ajaye wa TFF.Natamani sana Ally ashinde uchaguzi huu sababu nafahamu ana moyo wa dhati wa kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini na hata Sera zake zinaridhisha lakini huyu Karia atapigiwa kura nyingi na wajumbe.

Hata huyu Imani Madege alijaribu kumfanyia figisu figisu Karia sababu alijua ni threat na ana asilimia kubwa ya kushinda.

Kila la heri Ally
Hongera kwa utabiri wako
 
Sijajua ni shule kiasi gani Mayay amekwenda.... Mwenye data plz
 
Back
Top Bottom