py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Kusema kweli kuna asilimia 90 Karia atakuwa rais ajaye wa TFF.Natamani sana Ally ashinde uchaguzi huu sababu nafahamu ana moyo wa dhati wa kuleta mapinduzi ya soka hapa nchini na hata Sera zake zinaridhisha lakini huyu Karia atapigiwa kura nyingi na wajumbe.
Hata huyu Imani Madege alijaribu kumfanyia figisu figisu Karia sababu alijua ni threat na ana asilimia kubwa ya kushinda.
Kila la heri Ally
Hata huyu Imani Madege alijaribu kumfanyia figisu figisu Karia sababu alijua ni threat na ana asilimia kubwa ya kushinda.
Kila la heri Ally