Hivi unatumiaga jina gani vile #fb💯 watu huona facebook kama mtandoa unaotumiwa na watu wasio jielewa lakini wateja wakuuu wa wafanyabiashara wa online wako facebook plus kuna option nyingi za biashara kuliko IG
Nashangaza sanaKuna watu bado wanatumia Facebook?
Kama unatangaza matangazo ya kulipia tofauti yao siyo kubwa sana. Ila watu wa facebook wanaengage sana kwenye comments. Tatizo lao ni kutokuwa na pesa za kutosha.
Kwa mb za jero jero lazima utoke ndukiNi sahihi kabisa moja ya weakness ya Instagram ni ulaji wa bandle sana wengi wanaingia kule kwa matukio maalumu labda amesiki taarifa flan inapatikana huko ataingia mara moja na kutoka
Kama unatangaza matangazo ya kulipia tofauti yao siyo kubwa sana. Ila watu wa facebook wanaengage sana kwenye comments. Tatizo lao ni kutokuwa na pesa za kutosha
Ukiwa na followers wengi na active unaweza kufanya bure, lakini bado inakuwa si kama kulipia.Inategemeana na aina ya biashara unayo ifanya. Halafu sio lazima ulipie matangazo fb. Kuna watu kama kina sisi nikiweka comment moja kwenye page ya watu watu napata followers kuanzia mia 4 na ushee.
And to follow me is to pay me. Once you make a mistake of following my pages on fb u must pay me cause am a marketing genius.
Kumekuchaaaa🤣Kuna watu bado wanatumia Facebook?
Toka nimejiunga Facebook mwaka 2009 hadi sasa naitumia na sijawahi kuacha kuitumia. Ni watu wajinga tu wanaweza kusema facebook ni mtandao wa hovyo.Kuna watu watakuja hapa na kujifanya hawatumii Facebook...
Utasikia bado mnatumia Facebook hadi sasa...🙄
Mimi binafsi Facebook naipenda sana...Toka nimejiunga Facebook mwaka 2009 hadi sasa naitumia na sijawahi kuacha kuitumia. Ni watu wajinga tu wanaweza kusema facebook ni mtandao wa hovyo.
Facebook 2009, Twitter ama X mwaka 2010, Instagram 2014.
Kulipia huwaga miyeyusho mara matangazo yanakuwa enabled mara vile upuuzi mtupu ni bora umlipe mtu mwenye page yenye watu wengi au admin mwenye group lenye watu wengi.Ukiwa na followers wengi na active unaweza kufanya bure, lakini bado inakuwa si kama kulipia.
100 percent correctToka nimejiunga Facebook mwaka 2009 hadi sasa naitumia na sijawahi kuacha kuitumia. Ni watu wajinga tu wanaweza kusema facebook ni mtandao wa hovyo.
Facebook 2009, Twitter ama X mwaka 2010, Instagram 2014. JF nilijiunga kwanza 2011 nikasau password ya my old account nikafungua nyingine.
Kwa wafanyabishara wanaojielewa facebook is the right place. Unakuta mtu anang'ang'ana na WhatsApp status ambapo ana view wasiozidi 200 anaacha audience ya watu 5000+ Facebook ambapo atalipia tangazo pesa kidogo tu na atapiga hela.
Kumekuchaaaa[emoji1787]
Acheni upuuzi, Instagram bs Face book. Google mwenyewe.
Google wanasema Facebook ni better kama audience yako ni kuanzia miaka 30 na kuendelea ila instagram ni better kuanzia mwaka 0 hadi 29Acheni upuuzi, Instagram bs Face book. Google mwenyewe.
Angalia conversion kati ya hizo 2. 1/3 ya audiemce ya IG walishanunua kupitia matangazo walioyaona.Google wanasema Facebook ni better kama audience yako ni kuanzia miaka 30 na kuendelea ila instagram ni better kuanzia mwaka 0 hadi 29
Shida hizo page zenye followers wengi Kwanza gharama ni kubwa MTU anakuambia umlipe 50k per day bila ata kujua output Yake, then followers wengine siyo wabongo (wanejaa Wahindi wapakistan), wengine ni robots, zingine ni dummy pages, wengine unakuta wamejaza watu wenye interest za Huyo admin, kama ni page ya umbea utakuwa ni watu WA dizaini hiyo.Kulipia huwaga miyeyusho mara matangazo yanakuwa enabled mara vile upuuzi mtupu ni bora umlipe mtu mwenye page yenye watu wengi au admin mwenye group lenye watu wengi.
Wakati wana introduce sponsored ads it was okay yalikuwaha mazuri sana but now nadhani wahindi wamezidiwa na customers ( advertisers) wanazingua kweli