Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

Inategemeana na aina ya biashara unayo ifanya. Halafu sio lazima ulipie matangazo fb. Kuna watu kama kina sisi nikiweka comment moja kwenye page ya watu watu napata followers kuanzia mia 4 na ushee.

And to follow me is to pay me. Once you make a mistake of following my pages on fb u must pay me cause am a marketing genius.

Kama unatangaza matangazo ya kulipia tofauti yao siyo kubwa sana. Ila watu wa facebook wanaengage sana kwenye comments. Tatizo lao ni kutokuwa na pesa za kutosha
 
Inategemeana na aina ya biashara unayo ifanya. Halafu sio lazima ulipie matangazo fb. Kuna watu kama kina sisi nikiweka comment moja kwenye page ya watu watu napata followers kuanzia mia 4 na ushee.

And to follow me is to pay me. Once you make a mistake of following my pages on fb u must pay me cause am a marketing genius.
Ukiwa na followers wengi na active unaweza kufanya bure, lakini bado inakuwa si kama kulipia.
 
Kuna watu watakuja hapa na kujifanya hawatumii Facebook...
Utasikia bado mnatumia Facebook hadi sasa...🙄
Toka nimejiunga Facebook mwaka 2009 hadi sasa naitumia na sijawahi kuacha kuitumia. Ni watu wajinga tu wanaweza kusema facebook ni mtandao wa hovyo.

Facebook 2009, Twitter ama X mwaka 2010, Instagram 2014. JF nilijiunga kwanza 2011 nikasau password ya my old account nikafungua nyingine.

Kwa wafanyabishara wanaojielewa facebook is the right place. Unakuta mtu anang'ang'ana na WhatsApp status ambapo ana view wasiozidi 200 anaacha audience ya watu 5000+ Facebook ambapo atalipia tangazo pesa kidogo tu na atapiga hela.
 
Facebook 2009, Twitter ama X mwaka 2010, Instagram 2014.
Mimi binafsi Facebook naipenda sana...

Kuna vitu utavipata huko huwezi kuvipata kwenye mitandao mingine ya kijamii.
 
Ukiwa na followers wengi na active unaweza kufanya bure, lakini bado inakuwa si kama kulipia.
Kulipia huwaga miyeyusho mara matangazo yanakuwa enabled mara vile upuuzi mtupu ni bora umlipe mtu mwenye page yenye watu wengi au admin mwenye group lenye watu wengi.

Wakati wana introduce sponsored ads it was okay yalikuwaha mazuri sana but now nadhani wahindi wamezidiwa na customers ( advertisers) wanazingua kweli
 
Toka nimejiunga Facebook mwaka 2009 hadi sasa naitumia na sijawahi kuacha kuitumia. Ni watu wajinga tu wanaweza kusema facebook ni mtandao wa hovyo.

Facebook 2009, Twitter ama X mwaka 2010, Instagram 2014. JF nilijiunga kwanza 2011 nikasau password ya my old account nikafungua nyingine.

Kwa wafanyabishara wanaojielewa facebook is the right place. Unakuta mtu anang'ang'ana na WhatsApp status ambapo ana view wasiozidi 200 anaacha audience ya watu 5000+ Facebook ambapo atalipia tangazo pesa kidogo tu na atapiga hela.
100 percent correct
 
Google wanasema Facebook ni better kama audience yako ni kuanzia miaka 30 na kuendelea ila instagram ni better kuanzia mwaka 0 hadi 29
Angalia conversion kati ya hizo 2. 1/3 ya audiemce ya IG walishanunua kupitia matangazo walioyaona.
 
Kulipia huwaga miyeyusho mara matangazo yanakuwa enabled mara vile upuuzi mtupu ni bora umlipe mtu mwenye page yenye watu wengi au admin mwenye group lenye watu wengi.

Wakati wana introduce sponsored ads it was okay yalikuwaha mazuri sana but now nadhani wahindi wamezidiwa na customers ( advertisers) wanazingua kweli
Shida hizo page zenye followers wengi Kwanza gharama ni kubwa MTU anakuambia umlipe 50k per day bila ata kujua output Yake, then followers wengine siyo wabongo (wanejaa Wahindi wapakistan), wengine ni robots, zingine ni dummy pages, wengine unakuta wamejaza watu wenye interest za Huyo admin, kama ni page ya umbea utakuwa ni watu WA dizaini hiyo.
Paid adds ni cheap, inalipa kulingana na target yako uliyoset, zinakuletea watu real ambao umewatarget kulingana na unachokitangaza.
Mfano hili ni tangazo dogo Kwa gharama ya Dola 5 Kwa siku; Angalia output hapo chini:
IMG_20240518_030020.jpg
IMG_20240518_025959.jpg

So paid adds ni smart zaidi. Ukiweka add ya gharama za hizo pages unaweza reach watu wengi zaidi.
MREJESHO
Nilipost na kupromote same tangazo Facebook na Instagram
Hii ni results ya Facebook, inaonekana Facebook outrich Yake ni kubwa sana tangazo nimefika Hadi njombe huko na nje Kwa muda mfupi. Angalia picha hapo chini. Facebook nmepata mteja mmoja while Instagram hakuna kitu
IMG_20240518_114018.jpg
 
Back
Top Bottom