Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

Ukweli mchungu: Kibiashara Facebook is more powerful than Instagram

Sawa.
Hata habari, fb ina habbari nyingi mpya kuliko Instagram
 
Shida hizo page zenye followers wengi Kwanza gharama ni kubwa MTU anakuambia umlipe 50k per day bila ata kujua output Yake, then followers wengine siyo wabongo (wanejaa Wahindi wapakistan), wengine ni robots, zingine ni dummy pages, wengine unakuta wamejaza watu wenye interest za Huyo admin, kama ni page ya umbea utakuwa ni watu WA dizaini hiyo.
Paid adds ni cheap, inalipa kulingana na target yako uliyoset, zinakuletea watu real ambao umewatarget kulingana na unachokitangaza.
Mfano hili ni tangazo dogo Kwa gharama ya Dola 5 Kwa siku; Angalia output hapo chini:
View attachment 2992946View attachment 2992947
So paid adds ni smart zaidi. Ukiweka add ya gharama za hizo pages unaweza reach watu wengi zaidi.
Good ur right
 
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali.

Hajui chochote kuhusu business.

For your information Facebook is more better in business than instagram.

Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram.

# Facebook mbele kwa mbele
SIjawahi tumia instagram kwa Biashara,Unacho sema ni sahihi
 
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali.

Hajui chochote kuhusu business.

For your information Facebook is more better in business than instagram.

Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram.

# Facebook mbele kwa mbele
Hata ile Market Place au magroup ya Biashara, Kuuza vitu ni chap sana.

Yaan hauhitaji followers ili ufanye biashara
 
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali.

Hajui chochote kuhusu business.

For your information Facebook is more better in business than instagram.

Ina watu wengi sana ambao wapo active na wanafikika kwa kirahisi sana kuliko Instagram.

# Facebook mbele kwa mbele
Kwen ulikuwa Hujui? FB ni social media kubwa zaidi dunian
 
Back
Top Bottom