Ukweli mchungu; Kuanzia Agosti tutarajie ya kutisha, tukio la Mbowe ni kiashiria. Maadui wa nje watatutesa

Ukweli mchungu; Kuanzia Agosti tutarajie ya kutisha, tukio la Mbowe ni kiashiria. Maadui wa nje watatutesa

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,787
KUB anashambuliwa leo unasikia maneno ya kebehi kwamba alikuwa amelewa lakini dunia inajua kinachoendelea na picha ya JPM kwenye vyombo vya kimataifa ni kwamba ni lijitu katili

Ila what if tukio limefanywa hata na maadui wa nchi? Yes why not? Nchi hii sasa hivi haina umoja anayetarajiwa kuwaleta watu pamoja yeye na wasaidizi wake wake busy kukandamiza wengine hata kwa mbinu za kishenzi kabisa kwa nini adui asipite katikati yenu na kufanya yake?

Si ni huko dodoma tunajua wamjeaa maspy wa nchi kama Rwanda? Si ni kesho kuna kikao cha world bank kureview ombi la tanzania kulialia kwa mabeberu kuhurumiwa na kupunguziwa madeni sababu ya corona,hamuoni kesho kwenye kikao suala la mbowe nalo litagusiwa?

Serikali ya awamu ya tano imechukua sura ya kikatili sana sadly they seem to like it wanaona wanaogopeka..Sawa tu...

Pi niwapongeze CCM mpya na Serikali ya awamu ya tano kwa jinsi wanavyotumia mkono wa chuma ku deal na wapinzani kwa hakika wamefanikiwa kuparanganyisha hata utaifa na umoja uliokuwa unaelealea

Kwa sasa kusikia Mbowe kavunjiwa club, kaharibiwa mashamba katukanwa matusi ya nguoni hadharani na viongozi wa CCM ni kawaida, kusikia wanachadema wampegwa mashoka mapanga ni kawaida, Rais wa nchi kusimama hadharani na kusema 2020 atahakikisha upinzani umekufa na kuwashangaa wakurugenzi wa uchaguzi kutangaza wapinzani wameshinda kwenye majimbo wakati "Anatoa hela yake kuwalipa na kuwapa magari na nyumba'

Watoa fomu kwenye uchaguzi kutoa kwa wana CCM kisha kufunga ofisi na kukimbia ni kawaida kabisa kwa sasa tena wanatokea wana CCM wanajipongeza na kuita mbinu za kisayansi

2013 wakati Kikwete anapigwa mkwara na Kagame almost nchi nzima ili rally nyuma yake kama kiongozi wa nchi despite tofauti za kisiasa,lakini nawahakikishieni wana CCM na Serikali huu uadui mlioutengeneza labda mteketeze kabisa wapinzani namaanisha wananchi siyo kina Mollel au Lijualikali au Lowassa hata Mbowe na Lissu maana kwa akili yenu mnadhani hao ndo wapinzani

Naona jinsi hao tunaoambiwa ni maadui wa nchi watakavyotuparanganyisha kirahisi kabisa kampeni zikianza maana upande mmoja ushaonesha ukatili wake yale mabomu kama ya Arusha yakianza kurindima kwenye makampeni sitashangaa maana upenyo upo wazi kwa iaka mitano mmtengeneza hii sytem lakini ita backfire sana na haitawasaidia na jumuiya kimataifa itawalaumu nyie hata kama hamjafanya

Sipati picha hizo kampeni zikianza august maana leo utasikia mbatia kashambuliwa chadema wanalaumiwa, kesho utasikia kampeni za lissu mabomu yamelipuka CCM wanalaumiwa hadi mje kujutia machuki yenu mliyoyapanda for 5 years it will be too late maadui wako pembeni wanacheka tu
 
Aiseee umepita mulemule malaika mkuu Mungu anamuona hivi binadamu wenzako matendo ya kikatili namna hiyo badala ya kukas ule ,ya Mungu mengi , Nkurunzinza huyo.
 
Aiseee umepita mulemule malaika mkuu Mungu anamuona hivi binadamu wenzako matendo ya kikatili namna hiyo badala ya kukas ule ,ya Mungu mengi , Nkurunzinza huyo.
HUYO ALIKUWA KESHAMUWEKA HUYU WA SASA KAMA GERESHA BEHIND THE SCENES YEYE ANGEBAKI NA MAMLAKA NA MAAMUZI,YUKO KUZIMU SASA HIVI SHUBAMIT BADO WATESI WTU TUNAANGALIA TU DAH 5 YEARS ZIMEKATIKA KWA MAMBO YA ******* KWELI YAANI
 
Tanzania hii ni kubwa, kutoka wilaya moja kwenda nyingine ni km kibao pori kwa pori..pale wilayani unakuta police hata 20 hawafiki na Kigari chao kimoja wakati **** watu zaidi ya 10,000 ....kuna mtu anajivunia Jeshi la Police kwamba linaweza kudhibiti...wananchi wakishachoka hii nchi itakiwa haikaliki..
 
Tanzania hii ni kubwa, kutoka wilaya moja kwenda nyingine ni km kibao pori kwa pori..pale wilayani unakuta police hata 20 hawafiki ba Kigali kinoja wakati watu zaidi ya 10,000 ....kuna mtu anajivunia Jeshi la Police kwamba linaweza kudhibiti...wananchi wakishachoka hii nchi itakiwa haikaliki..
NAAMINI YALE MABOMU YALIYOLIPUKA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA 2013 YATARINDIMA SANA NA ITAKUWA MWENDO WA KUNYOOSHEANA VIDOLE NA KUNA WATU WATAPATA WAKATI MGUMU SANA KUKANUSHA MAANA KAULI ZAO TANGU 2015 HAZIJASAHAULIKA.
 
NAAMINI YALE MABOMU YALIYOLIPUKA ARUSHA KWENYE MKUTANO WA CHADEMA 2013 YATARINDIMA SANA NA ITAKUWA MWENDO WA KUNYOOSHEANA VIDOLE NA KUNA WATU WATAPATA WAKATI MGUMU SANA KUKANUSHA MAANA KAULI ZAO TANGU 2015 HAZIJASAHAULIKA.
Tutajikuta nchi inatawaliwa na umoja wa Mataifa kwa Muda maana hata jeshi letu la wananchi haliaminiki...
 
Tutajikuta nchi inatawaliwa na umoja wa Mataifa kwa Muda maana hata jeshi letu la wananchi haliaminiki...
YAANI HATA UKIMSIKILIZA LIUJUALIKALI LEO NA BABA MKWE WAKE WANACHOONGEA NI AIBU SUBIRI TUTAONA LAKINI JAMBO ZURI NI KWAMBA KIMATAIFA JAMAA KESHAJULIKANA NI KATILI
 
YAANI HATA UKIMSIKILIZA LIUJUALIKALI LEO NA BABA MKWE WAKE WANACHOONGEA NI AIBU SUBIRI TUTAONA LAKINI JAMBO ZURI NI KWAMBA KIMATAIFA JAMAA KESHAJULIKANA NI KATILI
Kuna watu kama 100 hivi ndiyo wanafanya vurugu zote hizi.

Kuna wana CCM wengi wacha Mungu na hawaendi mambo haya ila wafanyaje?

Maana ukisema kesho yake unajikuta shimo la tewa!!
 
Back
Top Bottom