LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Ukweli huo unakuhusu wewe unae soma Uzi huu.
Miaka ya 90 ulipokuwa bado mtoto. Ulikuwa ukisikia redioni kibwagizo cha wimbo " MKE WANGU NI MLEVI ANANUKA GONGO".
Ulikuwaga una assume kibwagizo hicho kinawahusu watu wa Manzese, Tandale huko uswekeni ndani ndani, watu ambao hawajasoma , hawana kazi etc.
Sasa hivi umeshakuwa mtu mzima. You are in your late 30s or early 40s na kuendelea.
Umesoma, una kazi/shughuli yako, umeoa mke msomi mwenye kazi yake/ shughuli pia.
Lakini mkeo ni MLEVI mbwa. Na akilewaga, watoto wa kihuni huwaga WANA MVUNJIA DUKA.
Hapo ndo ujue kwamba Kile kibwagizo kilikuwa kinakuhusu wewe. Hakikua kinawahusu watu hao ulio kuwa unawafikiria.
Mambo mambo yote yanayo zungumzwa chini ya uso wa dunia yawe mabaya yawe mazuri, yapo karibu na wewe kuliko unavyo fikiria.
It is just a matter of time.
That's why I always tell you here: YOU HAVE TO LIVE YOUR LIFE TO THE FULLEST.
WACHA KUJISTRESS BILA MPANGO.
THE WORLD IS NOT YOURS.
YOU DID NOT CREATE THIS WORLD.
IT WAS GIVEN TO YOU SO USE IT TO THE FULLEST.
NOTHING WORTH TO STRESS ABOUT IN THIS PLANET.
NDIO MAANA NAKUSIKITIKIA SANA WEWE MTANZANIA MWENYE KIPATO CHA KAWAIDA AMBAE UNA JISTRESS KULIPA MAMILIONI SHULE ZA EM WAKATI HAKUNA HATA UMUHIMU WALA UPEKEE WOWOTE KATIKA HILO.
Unashindwa hata kula vizuri wewe na wanao. Unashindwa kuvaa vizuri wewe na wanao kwa ALIBI ya ads shuleni.
Una wadhulumu watoto wako. Hivi hujui kwamba hakuna kinacho mkosesha mtoto mdogo raha kama kumuona mzazi wake akiwa na stress?
Una assume watoto hawajui?
Watoto husononeka sana kukuona mzazi una stress kwa sababu mtoto karudishwa nyumbani na hauna ada
Letting your primary school kids to know that you are broke amounts to child abuse.
Haya sasa twende kazi. Kamata watoto wako wanao soma EM wapeleke Kayumba haraka sana.
Nenda mbio sana kimbia fasta, ukianguka amka endelea kukimbia hadi ufike na mwanao Kayumba.
Leo tarehe 27 Septemba Ijumaa. Tuko bar tunasubiri mechi ya Zamalek vs Al Ahly. Ila "Team Kujistress" hawana hata habari kama kuna mechi. Kwa sababu eti wapo busy wanawaza ada za watoto 😂😂😂
Tunavyo tumia eti wanatushangaa kwa sababu hela tunayo tumia kufurahia tunatakiwa tuipeleke kwa Mr.Muggeta wa Mugeta ENGLISH MEDIUM ili akaitumie Kula bata na watoto wake. Utafikiri mtoto akisoma Kayumba ndio eti hawezi kutimiza ndoto zake. YEEH!
Live your life toThe fullest.
Making Kayumba School Great Again
( MAKAGA Campaign)