Ukweli mchungu kuhusu KINANA

Bavicha imeshaishiwa hoja!!!

Msigwa ni product ya bavicha...

ukikunwa unatakiwa kutulia...sasa unapoona chadema inawakuna tulieni...sio lazima kukoment uharo...ningependa kukuona umevaa gwanda unapigania haki na maisha bora kwa kila mtz ZeMarcopolo
 
Last edited by a moderator:

naona magamba mnapongezana
 
Kinana ni mashine kubwa nissan diesel chadema ni vespa
 
Kiingereza gani hiki wewe?

my Radhia Sweety ,is there any problem with his kiingereza?for sure i cant see because he actually didnt vayolet az many grammatical rules as eventually or possibly Mulugo or Mr Dhaifu would/could do or have been doing during their speeches presentation...
 
Last edited by a moderator:
Msomali anayeishi Tz na kufanya uharamia wa Tembo na kubaki akiwa huru!!!!!!
 
Hapa sijui ndie mnamuongelea we Manka ongeza KINANA ingine Bariiidi....
 
Juzi hapa sokoine wakati wa sherehe za wafanyakazi lilipotajwa jina la katibu wa ccm watu wakaanza maneno, “jamaa wa pembe“ “huyo ndo kamaliza tembo“ wengine wakawa wanaweka maneno mazito zaidi mpaka ikabidi mengine nianze kuyapinga, sijui imekuwaje make ni kama vile watu hawakumwelewa nchimbi, poleni sana magamba, ila kama ni kweli hebu wahurumieni wanyama mwitu japo waongezeke kwanza
 
Kinana hana hata wa kufananishwa nae huko cdm.
Hakuna, mtaje..
 
Umakini unaouzungumza utawezaje kuboresha utendaji kazi wa watawala wetu. Je umakini huo unamsaidia mtanzania au ni kwa ajili ya kundi fulani tu kuendeleza unyonyaji
 

hili gazeti lote la udaku nani ana muda wa kusoma, fanya samari, okoa muda wetu, kuna uzi mwingi sijapitia
 
huyu jangili kweli ndio CCM mnaona kuwa ni TURNAROUND ARTIST? kinana ni mwana CCM pekee amabae yuko kwenya triple failure mode, he has failed himself kwa ujangili he goes on rampage wherever and whenever TEMBOS comes into his mind and sight, he has failed his party ndio alikua ringleader wa CCM kwenye uchaguzi wa 2010 ambao unashikiria record kwa CCM kufanya vibaya and lastly he has failed the country because he has nothing to lose for whatever the case may be because he natively do not belong here .
 
Hapana!Chaguo la Kinana na Mangula limekipa CCM uhai. Kipimo kitakuwa chaguzi za Serikali za Mitaa 2014.

 
yote yana mwisho kwa kuwa yana mwanzo ,bali tutafika tumechoka sana
 
Hapana!Chaguo la Kinana na Mangula limekipa CCM uhai. Kipimo kitakuwa chaguzi za Serikali za Mitaa 2014.


uhai gani aisee chaguzi za kutegemea polisi, CCM haiwezi kuchaguliwa huwa inajichagua kwa kutumia serikali otherwise wakiachwa wananchi waamue CCM leo kilikuwa chama cha upinzani, unaweza kujitia uendawazimu usilione hili, hao wabunge wa upinzani unao waona bungeni shughuli yake ilikuwa kubwa mpaka matokeo kutangazwa kuna watu wamekufa, mali zimeharibiwa.
 
Umakini wa Kinana utawezaje kwa sasa hivi kubadilisha na kuboresha maisha ya Watanzania? Ni jinsi gani umakini huo utaweza kuondoa shutma dhahiri dhidi ya ccm na kuweza kugeuza mtazamo wa wananchi kwa ccm, tofauti na ilivyo sasa?

asante kwa kumaliza mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…