Ukweli mchungu kuhusu Lulu: Kanumba anaonewa

Aisee! kumbe kamekubuhu kwenye haya mambo!!

Kama nawaona vile manyapara wa ukonga wanavyoimezea mate tarehe 13novemba
[emoji23] [emoji23] hahaa eti wanaimezea mate
Umeua mkuu
 
Kwa hiyo Cheni amekala pamoja na mama yake na mzee Magali alikala tigo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Atakata ruffs tu hukumu ikiwa mbaya na mwanasheria Kibatala ni jembe wait and see
Sky anaweza akawa acquitted , mimi nilitegemea to have a no case to answer! Mtu kalewa anayumba akaenda bafuni akaanguka akagonga kichwa akapata brain concussion, who is to blame! Ninakuwa na ujasiri wa kusema kuwa alikosa criminal defense lawyer mzuri who could have played around with legal specifics of Lulu`s scenario
 
Tutasikia judgemet mkuu unaweza kushangaa 'not guilty'
 
Akili za kushikiwa, yaani huko mtaani ukikuta vitoto vinabanduliwa na wewe unavibandua? Pervert.
 
Kwa hiyo Cheni amekala pamoja na mama yake na mzee Magali alikala tigo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
mzee magari na frank walizamia marekani baada ya kuzidisha invitation,wameoverstay..huyu aliyekula jicho ni rafikiye dr cheni yupo ulaya katika nchi za scandinavia
 
jamaa aligonga kisogo chumbani,maelezo ya lulu kuhusu ugomvi yako sahihi ila hata kama alimsukuma in self defense hawezi sema na ukweli jamaa alikuwa kalewa hata wanaomjua wanajua alikuwa ni kichwa panzi analewa haraka sana...huu uzi sishabikii lulu afungwe ila namlaumu sana yeye na mama yake walivyomgeuka mama kanumba na kum humilliate kwenye mitandao leo wangekuwa close ingesaidia sana,kwanza wale wamama wote wahaya wangeenda huko bukoba kuchinja hata sadaka kutoa nuksi..sasa baada ya kumtumia ili kutuliza munkari wa raia na lengo lilifanikiwa thats why unaona ni kama jamii ilimsamehe
Kuhusu sual la lawyer hapo ni utata mwingine,kibatala ni lawyer mzuri ila mazingira ya siasa za nchi hii kwa sasa sio rafiki kwa chadema usishangae akapunguzwa heshima yake kwenye kesi hii kwa makusudi au umesahau manji alivyomkataaa?sio kwamba hajui ila duuuuuuuu
 
So mnataka kusema anatoa ndogo right?
 
Tamaa mbele mauti nyuma.

Marehemu aliweka Tamaa ya kutaka kula embe kwa chumvi kabla haijakomaa matokeo yake ndio yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…