Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo mmetisha laiti kila msemalo lingekuwa kweli sijui...Na kabla ya kanumba alikua ashatembea na wengi zaidi tu,,kia kiba,na siku zile alikua anatoka na kiba ,,kanumba alivyoanguka alivyotoka nje alikua anasubiriwa na kiba
Nakubaliana na wewe kabisa. Kitabala ni mzuri, inategemea na judge yukoje maana kama anatishwa, basi lulu ameumia! (nilikuwa sijajua wakili alikuwa nani)jamaa aligonga kisogo chumbani,maelezo ya lulu kuhusu ugomvi yako sahihi ila hata kama alimsukuma in self defense hawezi sema na ukweli jamaa alikuwa kalewa hata wanaomjua wanajua alikuwa ni kichwa panzi analewa haraka sana...huu uzi sishabikii lulu afungwe ila namlaumu sana yeye na mama yake walivyomgeuka mama kanumba na kum humilliate kwenye mitandao leo wangekuwa close ingesaidia sana,kwanza wale wamama wote wahaya wangeenda huko bukoba kuchinja hata sadaka kutoa nuksi..sasa baada ya kumtumia ili kutuliza munkari wa raia na lengo lilifanikiwa thats why unaona ni kama jamii ilimsamehe
Kuhusu sual la lawyer hapo ni utata mwingine,kibatala ni lawyer mzuri ila mazingira ya siasa za nchi hii kwa sasa sio rafiki kwa chadema usishangae akapunguzwa heshima yake kwenye kesi hii kwa makusudi au umesahau manji alivyomkataaa?sio kwamba hajui ila duuuuuuuu
hii kesi kama ingekuwa nchi nyingine serious basi waliofoji cheti kuonyesha kazaliwa 96 badala ya 94 wangekuwa na msala plus aliyempa leseni kipindi kile akiwa na corolla nyeupe kama alikuwa under 18 alipataje hiyo leseni?waliompa leseni nao walitakiwa wawe mahakamani saa hiiAwe kakubuhu au la, kwanza uzinzi mara baada ya kuzaliwa au la, sheria haiangalii hayo. Kisheria alikuwa akibakwa.
hii kesi kama ingekuwa nchi nyingine serious basi waliofoji cheti kuonyesha kazaliwa 96 badala ya 94 wangekuwa na msala plus aliyempa leseni kipindi kile akiwa na corolla nyeupe kama alikuwa under 18 alipataje hiyo leseni?waliompa leseni nao walitakiwa wawe mahakamani saa hiiHivi watu hawajui tafsri ya, kubaka, as long ni under age whether amekubali mwenyewe au la hiyo ni kubaka.
Hivi ni mara ngapi watu wanaanguka wakiwa wenyewe sasa how kanumba isiwezekane ikizingatiwa walikiwa wanafukazana labda.
Acheni chuki za bure kwa hako katoto na kutofutiana na mama kanumba isiwe sababu kwanza hakuwa mke wake just a friend.
Kwel mkuu lakini kwa Tanzania yote yanawezeka katika kufoji vituhii kesi kama ingekuwa nchi nyingine serious basi waliofoji cheti kuonyesha kazaliwa 96 badala ya 94 wangekuwa na msala plus aliyempa leseni kipindi kile akiwa na corolla nyeupe kama alikuwa under 18 alipataje hiyo leseni?waliompa leseni nao walitakiwa wawe mahakamani saa hii
Lulu ana zaidi ya miaka 18 - Jamhuri!Lulu ni wa 1996,kwli mm nakumbuka mwka huo tulikuw tukiishi na mama yake mbagara rangi tatu,nakubar mama yake alikuwa anajiuza mpk vibandani henzi hizo lulu aliitwa shikana!
niutake radhi jombaaaa,mbona huyo demu mpo obsessed naye sana?mi ni njemba bana tuheshimianeMange popote atakapo andika lazima ajulikane kwa magazeti yake
Ooouk uniwie radhi mkuu .tafadhari.. ila uandishi kama wakeniutake radhi jombaaaa,mbona huyo demu mpo obsessed naye sana?mi ni njemba bana tuheshimiane