Ukweli mchungu kuhusu Lulu: Kanumba anaonewa

Ukweli mchungu kuhusu Lulu: Kanumba anaonewa

Sasa mkuu kugegedwa kwake na watu wengine ktk umri mdogo ndio kulimhalalisha Kanumba kukagegeda bila kuvunja sheria?!
d7165701b6d63187f26d47d0818364b5.jpg
 
mzee magari na frank walizamia marekani baada ya kuzidisha invitation,wameoverstay..huyu aliyekula jicho ni rafikiye dr cheni yupo ulaya katika nchi za scandinavia
Inaamaana magari na frank awako nchini
 
Hakuna la maana zaidi ya wivu...mwacheni mtoto wa watu
Kale kademu ni kasenge mkuu , hakuna cha wivu wala nn. Eti juzi mahakamani kanasema Kanumba alikatishia na panga kukacharanga, bdo akaamua kukapiga na ubapa wa panga mapajani, aya swali nijibu mbn wakat wanamtoa Kanumba pale ndani Seth na Dr. wa Kanumba kwann hawakulikuta panga? Lulu ni mpumbavu , aelewe tu zama hizi zimebadilika.
 
Well...kama makosa kila mtu ana yake ila sisi wabantu kwa tamaduni zetu kangepaswa hata kuona haya ila simply kanaishi maisha ya kwenye tv..adabu wala kujitambua hamna ndo kusema maisha ya kuvua kyupi ndo anayaweza.

Hata hiyo bongo muvi ni cover tu kanatumia kupata jukwaa la "kuuzia"!
 
mkuu kuna msemo wa wahenga unasema hivi, "ukishazoea kula nyama za watu huez kuacha", kwa hyo haka kadu ni kapumbavu , alichokiandika mange kina logic sana huez kwenda saloon kusuka nywele za mtindo et unakuja mahakamani si show-off hizo mkuu?, mara sijui umekuja na gari gn kuuza nalo sura court, na kihalisia LULU haez kumiliki magari kamà yale anayokuja nayo Court, ( kamà sio gari za mabwana zake na kama sio ulimbukeni ni nn, yaan anakuja kuringishia watu sio), mara sijui upo court room unabonya bonya simu si dharau hizo, kihalisia huyo mtto anadharau haheshimu hata mahakama na bdo hana hata sympthy kwa mama Kanumba. Yaan wanaomshàbikia uyu mtto inabd tukawapime uelewa wao
 
hii kesi kama ingekuwa nchi nyingine serious basi waliofoji cheti kuonyesha kazaliwa 96 badala ya 94 wangekuwa na msala plus aliyempa leseni kipindi kile akiwa na corolla nyeupe kama alikuwa under 18 alipataje hiyo leseni?waliompa leseni nao walitakiwa wawe mahakamani saa hii

Nchi zilizoendelea unapewa leseni yenye masharti ukiwa 16, lazima uendeshe ukiwa na mtu and no driving at night, mpaka ufike 18
 
Watanzania wengi IQ zina hitilafu kidogo
Wanabwabwaja kwanini lulu hakukaa vile ama hivi na mama Kanumba, mara angekaa nje ya mitandao

Hivi mnajua umri wa Lulu? Mnajua tabia za adolescent? Age ya 17-24 watu wanakuwa na kiburi cha makuzi, hawajielewi sana.
2012 mlitegemea lulu afanye critical reasoning na aishi maisha fulani ili case iwe vileeee, ?????????
 
Ni upumbavu tena nje ya mada
Lulu anatuhumiwa kua sio kufanya ngono chini ya umri
Endapo mahakama itamkuta na hatia itamhukum kwa kua sio kufanya ngono chini ya umri
Mahakama inasikiliza shauri la mauaji sio shauri la ndoa..
 
mzee magari na frank walizamia marekani baada ya kuzidisha invitation,wameoverstay..huyu aliyekula jicho ni rafikiye dr cheni yupo ulaya katika nchi za scandinavia
Jamani hivi jicho tamu eeeeeh? ?
 
Duh Kepteni (R.I.P) nae alikua akikatafunia pale PR?

Mbona pako local sana?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]KOMBA
na zile Sharubu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Awe amekubuhuu au hajakubuhu kama hajafikisha miaka 18 wewe ni mbakaji hata kama mlikubariana! Sheria za Mahakama Hazisemi kama mtu akiwa amkubuhu au hajakubuhu!

Wapo wanafunzi wa sekondari sahizi wana miaka 16 ila wamekubuhuu nenda kalale nao ukamatwe upelekwe mahakamani kama hutafungws miaka 30 au utasema alikuwa amekubuhu??

Mama kanumba alitaka kutumia mgongo wa mtu! sasa hiyo sio pouwa Let it go Kanumba ashakufa hata lulu akifungwa miaka 30 kanumba hata Fufuka
 
Aahaa kumbe ndiyo hivyo!! Sasa kwa kuwa Mange yuko against Lulu hapo ni kungoja Maagizo kutoka Juu..
Huyu Mange si ndiye anampiga Madongo Mkuu kila wakati? Kesi imeisha Labda Jaji awe kichwa ngumu
 
Ila kako smati sana. Mishedede yote hiyo aliyoshindiliwa nayo hakuna hata moja lililompachika mimba. Katakua hakatoi game dry. Sio kama wale team wa kubambika mimba wasiojielewa.
 
Back
Top Bottom