Ukweli mchungu kuhusu Lulu: Kanumba anaonewa

Ukweli mchungu kuhusu Lulu: Kanumba anaonewa

Malipo hapa hapa dunian, hakuna kitu kibaya kama kumsingizia marehemu! RIP brother! Lkn kama ni mtoto inabidi wazazi wawe na kesi ya kujibu kwa kushindwa kumlea vema mwanawe mpaka kuwa nje ya hom saa 6 usiku!
 
Keep on resting in Eternal peace SK, Innah lillah wainnah I'll ah rajuoon!

Simlaumu sana Lulu, nikizingatia umri aliokua nao by then and all those Hormones that where attacking her huku Mama mzazi hata muda hana, lakini nakuelewa sana mleta Mada! Lulu has yet to learn to be humble, hasisubiri Dunia imshushe like the way it did a few years back!! Kanumba hakuwa ghost! Alikua ni mtoto wa mtu, tena mwanamke kama yeye Lulu na mamake! He will never be easily forgotten, hasa tukizingatia mazingira aliyotutoka! Anyway in short they say "what goes around, comes back around"......"Ying Yang"...
 
Na kabla ya kanumba alikua ashatembea na wengi zaidi tu,,kia kiba,na siku zile alikua anatoka na kiba ,,kanumba alivyoanguka alivyotoka nje alikua anasubiriwa na kiba
Wabongo mmetisha laiti kila msemalo lingekuwa kweli sijui...
Nakumbuka mange alimtoa pofu ray kigosi wa watu eti akaandika kwa habari alizozipata toka kituo cha polisi ni kwamba ray anaweza kamatwa kwa kuhusika na kifo cha kanumba akamnang'a ray maskini mpaka akamkosesha raha.
 
jamaa aligonga kisogo chumbani,maelezo ya lulu kuhusu ugomvi yako sahihi ila hata kama alimsukuma in self defense hawezi sema na ukweli jamaa alikuwa kalewa hata wanaomjua wanajua alikuwa ni kichwa panzi analewa haraka sana...huu uzi sishabikii lulu afungwe ila namlaumu sana yeye na mama yake walivyomgeuka mama kanumba na kum humilliate kwenye mitandao leo wangekuwa close ingesaidia sana,kwanza wale wamama wote wahaya wangeenda huko bukoba kuchinja hata sadaka kutoa nuksi..sasa baada ya kumtumia ili kutuliza munkari wa raia na lengo lilifanikiwa thats why unaona ni kama jamii ilimsamehe
Kuhusu sual la lawyer hapo ni utata mwingine,kibatala ni lawyer mzuri ila mazingira ya siasa za nchi hii kwa sasa sio rafiki kwa chadema usishangae akapunguzwa heshima yake kwenye kesi hii kwa makusudi au umesahau manji alivyomkataaa?sio kwamba hajui ila duuuuuuuu
Nakubaliana na wewe kabisa. Kitabala ni mzuri, inategemea na judge yukoje maana kama anatishwa, basi lulu ameumia! (nilikuwa sijajua wakili alikuwa nani)
 
Hivi watu hawajui tafsri ya, kubaka, as long ni under age whether amekubali mwenyewe au la hiyo ni kubaka.

Hivi ni mara ngapi watu wanaanguka wakiwa wenyewe sasa how kanumba isiwezekane ikizingatiwa walikiwa wanafukazana labda.
Acheni chuki za bure kwa hako katoto na kutofutiana na mama kanumba isiwe sababu kwanza hakuwa mke wake just a friend.
 
Awe kakubuhu au la, kaanza uzinzi mara baada ya kuzaliwa au la, sheria haiangalii hayo. Kisheria alikuwa akibakwa.
 
Awe kakubuhu au la, kwanza uzinzi mara baada ya kuzaliwa au la, sheria haiangalii hayo. Kisheria alikuwa akibakwa.
hii kesi kama ingekuwa nchi nyingine serious basi waliofoji cheti kuonyesha kazaliwa 96 badala ya 94 wangekuwa na msala plus aliyempa leseni kipindi kile akiwa na corolla nyeupe kama alikuwa under 18 alipataje hiyo leseni?waliompa leseni nao walitakiwa wawe mahakamani saa hii
 
Hapa hachomoki lazima cv ibadilike !! Aitwe mfungwa. Mvua isiyopungua kumi. Akitoka hata wa kumzalisha hatamwona labda aende kwenye pombe za comon na chibuku.
 
Duh!! Hivi mnapata wapi ujasiri wa kutongoza binadamu aliyekuwa ameuasi ubinadamu na kuwa Street dog kama huyu. Mara ya kwanza nilifikili ni mapokezi polisi akiwa amebakwa njiani kumbe yuko na starehe zake!! Motherfuc acha nikomae na mila zangu hata niitwe mshamba
b6a78a6b6163199c390410c3e3e02627.jpg
 
Hivi watu hawajui tafsri ya, kubaka, as long ni under age whether amekubali mwenyewe au la hiyo ni kubaka.

Hivi ni mara ngapi watu wanaanguka wakiwa wenyewe sasa how kanumba isiwezekane ikizingatiwa walikiwa wanafukazana labda.
Acheni chuki za bure kwa hako katoto na kutofutiana na mama kanumba isiwe sababu kwanza hakuwa mke wake just a friend.
hii kesi kama ingekuwa nchi nyingine serious basi waliofoji cheti kuonyesha kazaliwa 96 badala ya 94 wangekuwa na msala plus aliyempa leseni kipindi kile akiwa na corolla nyeupe kama alikuwa under 18 alipataje hiyo leseni?waliompa leseni nao walitakiwa wawe mahakamani saa hii
 
hii kesi kama ingekuwa nchi nyingine serious basi waliofoji cheti kuonyesha kazaliwa 96 badala ya 94 wangekuwa na msala plus aliyempa leseni kipindi kile akiwa na corolla nyeupe kama alikuwa under 18 alipataje hiyo leseni?waliompa leseni nao walitakiwa wawe mahakamani saa hii
Kwel mkuu lakini kwa Tanzania yote yanawezeka katika kufoji vitu
 
Mange popote atakapo andika lazima ajulikane kwa magazeti yake
 
Lulu ni wa 1996,kwli mm nakumbuka mwka huo tulikuw tukiishi na mama yake mbagara rangi tatu,nakubar mama yake alikuwa anajiuza mpk vibandani henzi hizo lulu aliitwa shikana!
 
Ni vile tu mambo yanapindishwa ila lulu kumshiuka uongo ni kitu kidogo sana,two weeks kabla ya tukio kwenye kipindi cha mikasi cha salama alisema IAM 18 na take one ya zamaradi she said the same thing,tayari hadi 2002 alikuwa na passport na driving licence
 
Back
Top Bottom