Ukweli mchungu kuhusu Lulu: Kanumba anaonewa

Leta hicho chet cha 1994 ili tuamini , hata hivo hii kesi haihusiani kapelekw gest na wanaume wangapi acha bla bla zako halafu upunguze chuki.. Pam Ana na hali yako
 

Una uhakika panga halikukutwa??? Na Askari wenyew wamethibitisha wamekuta panga Na jack daniels.usiongee kimihemko tu we ndo unaonekana mpumbavu tu.huyu mtoto ilikuwa afe yeye Lkn still watu wanakosa utu.
 
Maamuzi ya mahakama yatakuacha uchi! Huyu alishakuwa mchafu way back! Hujaona picha ya mdau hapo juu kakiwa kamevaa kitambaa cha kujifutia jasho kiunoni bila hata chupi? Unakaogesha kwa matope!

Kwan anashtakiwa kwa uchafu???? Au wewe Uko kamili.kila mtu Ana past zake Tena chafu kushinda Huyo lulu Sababu tu hatujulkan tusimnyooshee vidole as if ss wasafi
 

Awe Na sympathy kwa mama kanumba aliolewa??? We unaona ni maadili kwanza kusaidiwa Na hawara??? Hizo nywele kwanza alikuwa Ana shoot movie kaangalie kwa camera man farid uwezo IG..sasa kwa Kuwa Ana kesi mambo mengine yasiendelee akae alie tu ??binadamu Hamna jema Hata.Et anachezea simu kwa akili yako anaweza chezea simu mbele ya judge ?? Au ndo ilimrad uonekane umeongea tu
 
Ameshitakiwa kwa kosa la kuua bila kukusudia........ Hayo mengine ya uchafu au usafi ni yake jameni....kila mmoja ana uchafu wake hapa
 
Umepata nini wallet yako imeongezeka hela ?
 
Una uhakika panga halikukutwa??? Na Askari wenyew wamethibitisha wamekuta panga Na jack daniels.usiongee kimihemko tu we ndo unaonekana mpumbavu tu.huyu mtoto ilikuwa afe yeye Lkn still watu wanakosa utu.
Utawaweza watu humu mitandao wameanza kuijua juzi hata hawaelewi kesi tangu mwanzo ilikuaje, na sio tu kukutwa panga hadi alama alizompiga nazo tangu siku ya kwanza zilionekana.... kweli ilikua afe yeye ila alijiwahi au tuseme Mungu alimnusuru.

Kanumba alikua na mkono wa kupiga sana hata Wema analijua hilo mpk akamlaza Wema Segerea ila watu wanajifanya wamesahau kisa tu amefariki.

All in All tuiachie mahakama ifanye kazi yake.
 
Na angelia mahakamani wangesema anajiliza aonewe huruma hahaha hao ndio watu bhana, na tangu lini mahakamani watu wakalia watu wa humu yaani sijui wakoje baadae wanajiita great thinker, lol
 

Mungu alimnusuru maskn.lkn bado Watu Wanamuona mkosaji sana.Alikimbia mpk nje kuepusha shari Lkn still marehemu akamfuata Na kumburuza mpk ndani Na kuanza mshambulia na mapanga.Ana mapungufu Yake lkn kwenye hili Hana hatia Naomba mahakama ione hivo .ukizngatia Ulikuwa utoto na Sahv kabadilika anasaidia mpk jamii Juzi katoka kuchangia kawe ukwamani Na hoyce Temu mpk mange bibi kigagula anamshambulia.kiukweli wanaomsema Huyu mtoto Ni wivu tu
 
Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake, kama aloweza kumnusuru na kifo kutoka kwa yule baba mtu mzima basi atamnusuru na kifungo pia.

Huyu kigagula Mange hata aseme nini uchizi wake sidhani kama mahakama itaelewa.

Angenyamaza tu aendelee kuomba Watz wasio na akili wamchangie pesa aendeshe maisha yake.
 
natafuta ile clip ya mikasi kipindi cha mwezi march 2012 ,lulu alisema"IAM 18" halafu mapopoma mje na vichekesho vyenu eti alikuwa anadanganya ili ajirushe,shenzi type ni nini sasa kitakachomfanya aonekane sio muongo leo?
 
Umeandika vizuri ila hizo picha umekosea mkuu, ungeleta yenye staha kidogo kama ya kwanza alivyojifunika ila hiyo ya pili umemdhalilisha.. alikua na maisha hayo ila sasa hiv amebadilika kwanini tuendelee kutumia picha zake mbaya za zamani kumuongelea.
 
natafuta ile clip ya mikasi kipindi cha mwezi march 2012 ,lulu alisema"IAM 18" halafu mapopoma mje na vichekesho vyenu eti alikuwa anadanganya ili ajirushe,shenzi type ni nini sasa kitakachomfanya aonekane sio muongo leo?

Ss unabishana Na mamake na babake waliomzaa Au cheti chake kuzaliwa kaulzie RITA basi..Watu Wengi wanadanganya umri iko wazi..Hata yy akifanya hakujua Kama yatamkuta makubwa.foolish age kutaka Sijui aendeshe gari, aingie club ,asign mikataba mwenyew..Ni utoto tu.Kisa tu alidanganya umri Sio sababu ya kumhukumu.Kila mtu Ana udhaifu wake.au ww uko kamili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…