🤣🤣
Sio hatujielewi ila wakati ukifika ambapo haupo mbali ndio itajulikana hatujielewi ama laa!Kama hamjui huwa wanawaona watazania kama wasiojielewa
nabhona unashitetea while umanitukana wewe mutanzaniya, ok,kuwa na musiku muzuri sanamkuu habiniwashi nimetoa tahadhari samahani kama nimekukwaza
Huwajui,Wakae tu sioni tatizo lao , wanyarwanda wapo overrated sana, kitu ambacho sio kweli.
mimi naomba tuendelee kukaa nao vizuri tukijichanganya hata hao mnaowaonawatz hamtoaminiWanyarwanda wako ndio watafanya nini hapa? Pamoja kuwa CCM na samia wameleta mipasuko ya ndani kwa ndani waambie waje wajaribu kama walivyofanya kongo.
Huyu mutanzaniya ana roho mubaya🤣nabhona unashitetea while umanitukana wewe mutanzaniya, ok,kuwa na musiku muzuri sana