Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

Rwanda na hao wanyarwanda mbona wako overrated kiasi hicho?
Whats so special with them?

As far as i know its a third world country with a dictator in power!
 
There is no special about you,washamba,nchi yenu ya kishamba,ninyi wenyewe washamba mnaobebwa na kitengo cha propaganda ila there is nothing special about you guys.
uko sahihi mkuu si unaona mambo yenyewe
 
chuki nyingi zinaanza na uzushi kama ulioandika, wahindi wa Tanzania walianza kuchukiwa na kuvamiwa kwa siasa za gabachori na uzawa, South Africa same shit, acha story za kichochezi
Mimi simchukii mtu na nisamehe kama nimekukwaza ila nilijaribu kuwaonya migration na Nida wamezidi kwa rushwa laiti ungejua mi ni mtu wa wapi basi usingesema nawachukia
 
h
You tell me!

Waha watarudi Burundi?

Wamasai na waluo Kenya?

Watu wakiwa nchini kihalali na kuwa naturalized wanahaki zote kama raia mwingine yeyote, regardless of their background. Naona hili ni somo gumu sana kwa wamatumbi kulielewa.
cha muhimu utaratibu ufatwe
 
Shida ni wabongo. Hizi nyuzi hazijaanza leo humu.

8/10 wabongo wanawaogopa warwanda ile mbaya. Wakisikia rwanda/Kenya tu wanaloa hadi unashangaa.
Unavuta bange?

Kama huvuti, nijaribu kukuelewesha kitu, labda utaelewa.
 
Kabla hatujajunga, inatakiwa KENYA, RWANDA, BURUNDI mlete mezani nyie mna kipi cha KU-OFFER.

Hatutaki STORY za Zanzibar zijirudie.

Tunahitaji mambo ya msingii yafutayo:
  • ARDHI
  • SERA YA MAMBO YA NJE
  • URAIA
  • MFUMO WA UTAWALA.

Siyo.m kwakuwa umezaliwa kwenye hakuna hata kipande cha ARDHI, halafu unalilia EAC iwe nchi moja,

Nyerere hakuiba ARDHI ya mtu, Kemyatta kaiba zote, halafu unadhami TZ ndio kuna wajinga
 
Hiyo inaitwa "Storm in a cup of tea". Rwanda na PK wako overrated sana, hakuna mtu anataka kuwaletea tragedy kama ya 1994 ndiyo maana watu wako kimya tu. But believe me Rwanda anaweza kuwa threat kwa Burundi tu na DRC wasiojitambua.

Rwanda ilikuwako kabla ya Kagame na ataondoka na Rwanda ataiacha. Tanzania ni giant country na tumekuwa tuna absorb shocks za nchi zote majirani ambazo zinatuzunguka wanapopata political instabilities. Msiwape umaarufu kuwa eti Kagame anawatuma kutu spy!! Yeye mwenyewe kasomea Monduli CTU na kafundishwa na trainers wa Kitanzania
 
TZ ya sasa haimuwezi hata Burundi.

Oktoba 29 ilionesha wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…