point yangu kubwa ilikuwa ni Nida na uhamiaji watu waishi kwa utaratibu sio mtu akienda rwanda ni mrwanda akifika sehemu ya ugali anakuwa mtanzaniaStray question—nilikusudia kumuuliza mtoa hoja. Sijui swali lilipoteaje njia. Nalihamisha!😁
Hiyo inaitwa "Storm in a cup of tea". Rwanda na PK wako overrated sana, hakuna mtu anataka kuwaletea tragedy kama ya 1994 ndiyo maana watu wako kimya tu. But believe me Rwanda anaweza kuwa threat kwa Burundi tu na DRC wasiojitambua.
Rwanda ilikuwako kabla ya Kagame na ataondoka na Rwanda ataiacha. Tanzania ni giant country na tumekuwa tuna absorb shocks za nchi zote majirani ambazo zinatuzunguka wanapopata political instabilities. Msiwape umaarufu kuwa eti Kagame anawatuma kutu spy!! Yeye mwenyewe kasomea Monduli CTU na kafundishwa na trainers wa Kitanzania
ni giant lakini kuna vitu vinatukwamishaHiyo inaitwa "Storm in a cup of tea". Rwanda na PK wako overrated sana, hakuna mtu anataka kuwaletea tragedy kama ya 1994 ndiyo maana watu wako kimya tu. But believe me Rwanda anaweza kuwa threat kwa Burundi tu na DRC wasiojitambua.
Rwanda ilikuwako kabla ya Kagame na ataondoka na Rwanda ataiacha. Tanzania ni giant country na tumekuwa tuna absorb shocks za nchi zote majirani ambazo zinatuzunguka wanapopata political instabilities. Msiwape umaarufu kuwa eti Kagame anawatuma kutu spy!! Yeye mwenyewe kasomea Monduli CTU na kafundishwa na trainers wa Kitanzania
Angejua hata huyo mtoto mwenyewe anaeza asimuone kivileukishamzalisha anakuwa raia eti
Vitakaa sawani giant lakini kuna vitu vinatukwamisha
Hatoamini first born awe wake,weeau anazaa na kaka yake
Sijui unaongelea jeshi gani wewe Mpwimbe . JWTZ wamekula kiapo kufanya mambo yafuatayo:TZ ya sasa haimuwezi hata Burundi.
Oktoba 29 ilionesha wazi.
Kama nini vinatukwamishani giant lakini kuna vitu vinatukwamisha
Wakae tu sioni tatizo lao , wanyarwanda wapo overrated sana, kitu ambacho sio kweli.
pole et au nawew ni mhanga? Tukurudishe rwandanezenimesikitika!
mi nzuguma!pole et au nawew ni mhanga? Tukurudishe rwandaneze
yaani wanyarwanda bana...Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza.
Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila mahali nida na kila kitu wanapata kwa sababu ya tabia za rushwa za watanzania.
Sasa ukitaka kujua kwamba wale rwanda iko damuni mje mjichanganye siku moja ndo ntajua kama wale ni watanzania au ni watu gani.
Kagame is very smart kuliko unavyofikiria.
Kama hamjui huwa wanawaona watazania kama wasiojielewa alafu wana umoja hatari.
Juzi tu hapa wanyarwanda wanaojiita wakongo huko nje walikuwa wanaandamana eti raisi wa kongo atoke madarakani nilicheka sana
Yule si- mwehu 😂kwa nini chai au nimekugusa mkuu wangu huamini kuna memba mmoja hapa ni mtazania lakini humwambii chochote kuhusu tutsi yaani ni mbishi hatari