Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania


Hawana chochote cha kutufanya,Tanzania sio congo
muendelee hivohovo kutuchekea
 
yaani hata mgekuwa mnawabeba mgongoni wao wapogi hivyo na wanafundishwa tangu wakiwa wadogo
Hizo ni conspiracies na myths tu, Wanyarundwa ni Waafrika kama Waafrika wengine wowote wale. Inawezekana unawaona wamekaa ki trojan horse kwa sababu ya aina ya utawala uliopo sasa Rwanda, ukiingia utawala tofauti utawaona tofauti pia.
 
Umejibu vzr mno,Mkuu pale Lubumbashi,DRC , Watanzania Wana umoja wao na watu wanakutana kukadili
 
Na ndio inatakiwa kuwa Hivi
 
Wala sio inferiority complex ya wabongo ukifatilia vizuri wabongo hawana time na rwanda ila wanyarwanda ndio wanajipa promo kwenye mitandao

Ni inferiority complex. Wabongo wengi kwa asilimia kubwa huwa wanaamini watashindwa au kuzidiwa na watu wengine kwenye nyanja yeyote ile. Mbongo huwa anawaza kupigwa tu hawazi yeye kuwapiga wengine.

Jiulize kwanini wabongo hawaoni faida ya kuwa na wageni badala yake wanaogopa? Kwanini wao hawaendi huko Rwanda au nchi zingine? Kwanini wanaogopa wageni kwenye kila sekta?

Mbongo akisikia RW, Kenya au mgeni yeyote yule analoa anajiona inferior asiyeweza kucompete. Mfumo wetu wa elimu haujawakomboa bado ndo maana JPM alikua anawaita 'wanyonge' na watu wanashangilia.
 
Mtanzania hawezi kufanya kitu kwa usahihi na umakini,ni kulalamika lalamika tu, hawezi kupambana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…