Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

Ni rahisi zaidi Mkenya au Mnyarwanda kuja Tanzania kuliko mbongo kwenda Rwanda au Kenya, Tanzania ina fursa nyingi ambazo hazijatumiwa vizuri na wazawa.
 
Bro umewahi kufika karagwe,Ngara, Tunduma, Mtambaswala,?
Masai wapo TZ na, Kenya, ila sio shida, Wajaruo wapo TZ na Kenya, sio shida,
Tunduma pale, wtz na wa Zambia huwezi kuwatofsutisha, wote wanapiga kiwembwa, ila sio shida,
Sasa kenge waone muhaya, au mnyambo wa karagwe, pua nyembamba, mrefu kama msomali, hapo shida! Why do you hate people of Kagera so much?
Kagera, Uganda, Rwanda, Burundi, Uganda, wote hawa ni jamii moja,kihaya na kinyankore cha Museveni ni lugha moja!
Achaneni na jews weusi,
Shida ya bongo ni ccm, hii nchi inazamishwa na ccm, sio
 
Mtanzania hawezi kufanya kitu kwa usahihi na umakini,ni kulalamika lalamika tu, hawezi kupambana

Wanapenda kulialia tu na kuogopa kila kitu.

Kuna watz waliwahi kuwa dean of faculties, University of Kigali hakuna mtu alipiga kelele na ilikua wazi kabisa.

Kuna mbongo kapewa shavu bank of Kigali last year, nobody bats an eye.

Bongo ambako hao warwanda hata hawaonekani wapo wapi mnapiga kelele kila siku kwa inferiory complex yenu. Kama watu wapo nchini kihalali wana haki ya kushika nafasi yeyote ile kama raia wengine tena kama wapo naturalized wanaweza kuwa hata mawaziri. Wabongo wajue namna ya kujiongeza na kucompete globally huku kulialia na woga ni ujinga dunia ya leo.

 
Ubaguzi uko kila mahali, hata Waislamu wanaoana wenyewe kwa wenyewe, Wakristo nao wanaoana wenyewe kwa wenyewe pia. Labda ni vile tu ubaguzi mwingine huwa unahalalishwa na jamii ikiwa ni jamii kubwa au kama haugusi maslahi ya jamii nyingine.
Hakika umesema kweli
 
Ni rahisi zaidi Mkenya au Mnyarwanda kuja Tanzania kuliko mbongo kwenda Rwanda au Kenya, Tanzania ina fursa nyingi ambazo hazijatumiwa vizuri na wazawa.

Sasa hilo ni kosa la nani?

Basically, unachosema warwanda wanaogopwa sio sababu ya utaifa wao bali sababu wabongo wanajua watashindwa wakishindana nao, which goes back to my point- inferiority complex. Wabongo wakisikia tu wageni waloa.

Ni lazima wabongo wawe tayari to compete globally dunia haiendeshwi kwa huruma na watu waoga waoga.
 
Tusihamishie matatizo yetu kwa Wanyarwanda!
SIsi tupambane na changamoto ambazo zimetufikisha hapa baada ya maafa ya okt
.29-31,2025!
Wao baada ya mauaji ya Kimbali 1994,walijifunza wakakaa chini wakayamaliza na sasa wanasonga mbele.
 
Yule nilishamshtukia, anajidai muhaya lakini mtu wa Rwanda yule
 
Mke wa m7 ni mnyarwanda..

Uganda wabadili jina maana kuitwa WAGANDA ndio maana WAGANDA wameganda ubongo πŸ€”

NB. Umenikumbusha mambo ya bahima empire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…