Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

Naunga mkono hoja
 
Mkunda si ndio alisema wako raia feki kwenye nafasi nyeti, yaani Hadi mkuu wa majeshi anajua, probably itakuwa ni hao Jamaa maana ukiangalia Ile statement itakuwa Tu alikuwa anawagusa wale Jamaa wa Rwanda & Burundi...Maana wako mipakani kule na ukiangalia ni jamii moja licha ya kutenganishwa na mipaka ya nchi...Jamaa yangu mmoja alikuwa na National ID ya Rwanda wakati tulikuwa tunasoma nae Advance meanwhile ID ya TZ pia anayo, nilimuuliza uliipataje ya Rwanda akasema wao wanapata Tu, mama Yake ndo alimfanyia mchakato na wakaenda huko Rwanda wakapata hiyo ni kitambo kidogo ,Wana ndugu zako pia ni hivyo hivyo....Nikagundua Kule ndio maana ukisema unatoka Kagera polisi, Uhamiaji, NIDA lazima wakuangalie mara mbili mbili na maswali mengine kibao.
 
Hawa na wasomali hawana tofauti
 
Hizo ni conspiracies na myths tu, Wanyarundwa ni Waafrika kama Waafrika wengine wowote wale. Inawezekana unawaona wamekaa ki trojan horse kwa sababu ya aina ya utawala uliopo sasa Rwanda, ukiingia utawala tofauti utawaona tofauti pia.
sidhani mkuu hawa tunaozungumzia ni wa huku bongoland
 
nasikia huko jijini rwanda uwe ba hela aun usiwe na hela ukiamua kuwa singo ni shida zako mwenyewe, watoto wa wa huko hawajui neno hapana.
 
Kama kunakaukweli hivi, mama angu ni mnyarwanda.
Hua ananisistiza sana nikitaka kuoa niende rwanda nikaoe kule.

Wanakaubinafsi na sifa kama wahaya tu.

Ila tupendane sisi ni wamoja, wa africa
yaani ndo ilivyo kwanza hawataki michanganyo akija kwako ujue kafata kitu fulani alafu hawaamini wabongo hata kidogo
 
Hakuna mbongo anaeogopa wageni uku ruvuma kuna wakenya wengi sana wanalima mahindi wana export kwenda kwao na hakuna shida,kuna magari mengi ya warwanda wanachukua coal na karanga kupeleka kwao na hakuna shida.
Shida ni CCM wala sio wabongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…