Ni inferiority complex. Wabongo wengi kwa asilimia kubwa huwa wanaamini watashindwa au kuzidiwa na watu wengine kwenye nyanja yeyote ile. Mbongo huwa anawaza kupigwa tu hawazi yeye kuwapiga wengine.
Jiulize kwanini wabongo hawaoni faida ya kuwa na wageni badala yake wanaogopa? Kwanini wao hawaendi huko Rwanda au nchi zingine? Kwanini wanaogopa wageni kwenye kila sekta?
Mbongo akisikia RW, Kenya au mgeni yeyote yule analoa anajiona inferior asiyeweza kucompete. Mfumo wetu wa elimu haujawakomboa bado ndo maana JPM alikua anawaita 'wanyonge' na watu wanashangilia.
njoo unipopoeNimeshiba sasa 😂😂😂🙌
chuki nyingi zinaanza na uzushi kama ulioandika, wahindi wa Tanzania walianza kuchukiwa na kuvamiwa kwa siasa za gabachori na uzawa, South Africa same shit, acha story za kichochezikwa nini unitukane sasa mimi na ww nani idiot
Nafanana nao kwani?ni mmoja wao?
Takataka!🚮tsh elfu 2 za kitanzania
Kwa hiyo , you tanzanians are intimidated by her lifestylemwanamitindo myarwanda mtanzania
Naongeza sifuri moja nyuma yaani iwe 02Takataka!🚮
Ongeza nneNaongeza sifuri moja nyuma yaani iwe 02
Iwe 20000 au 00002Ongeza nne
Gudubayi!Iwe 20000 au 00002
Namshangaa mtoa hoja! Kwahiyo kuna siku Wahangaza watarudi Rwanda?Kama wapo TZ kihalali na wamekuwa naturalized wana haki zote kama raia wengine nchini hata kushika uongozi isipokuwa urais na umakamu tu kama hawajazaliwa nchini. Watz wangapi wana uraia nchi zingine?
Kuwa na umoja ain't none wrong with that. Nyie mmekatazwa kuwa na umoja? Kinachowasumbua wabongo ni inferiority complex huwa mkisikia rwanda tu mnaloa. Uraia pacha wenyewe mnaogopa as if nyie ndo mtakua nchi ya kwanza kuwa na uraia pacha.
Buku3unashingapi kwanza?
Baba yake anaweza kuwa muhaya ila mama yake ni mnyarwanda, nae kafanana ujombani, anyway kuna watu wengi wana asili ya huko sio dhambi, ila haipendezi kuona takataka nchi iliyowasitiri uzao wako vizazi kwa vizazi,Yule nilishamshtukia, anajidai muhaya lakini mtu wa Rwanda yule
Akaunti yangu inazidi mbali hizo miamia, hebu eleweka!Someka bas bad gal.
Ujue weekend leo
Aww 🥰 tuma location!Buku3
Watakuja wakuwekee picha endelea kusubirihuyo jasinta makwabe ni nani huko dsm