Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Sio kila kitu anachokitaka au anachokuomba mwanamke ni lazima umpatie hata ķama kipo ndani ya uwezo wako sometimes mwambie sina. Lakini ikitokea kila anachokitaka mwanamke wako unampatia hata kama huna unajitahidi hata kukopa ili mradi kumpatia mwanamke wako my friend huo ni utumwa.
Kuna wanaume wengine huwa nawashangaa mtu unajinyima kisa mwanamke tu umfurahishe kwa kumpa kila achotaka my friend huo ni utumwa wa hali ya juu.
Kuna wanaume wengine huwa nawashangaa mtu unajinyima kisa mwanamke tu umfurahishe kwa kumpa kila achotaka my friend huo ni utumwa wa hali ya juu.