Ukweli mchungu kwa Walokole wote duniani, hamtamuweza Shetani, mtazaliwa kuzeeka na kuondoka hamtamuweza na dunia itabaki

Sure mkuu .ikitokea ujumbe uje kuwa moto hakuna ..ahh mbona unawakuta watu wanaruka majoka club
 
kitu ninachokijua sisi wanadamu ndio shetani wenyewe ila tumetengeneza dhana ya uwepo wake kujiridhishan na kuukwepa ukweli huu..matendo mengi ya ajabu yanafanywa na sisi wenyewe tukiwa na akili timamu sasa kikileta madhara tunasema shetani ili tujione sisi sio wabaya kiasi hicho
 
Hao ni Pepo..sio shetani...Alafu anaanza...1:Lucifer..2: Beelzebub -prince. 3:Astaraoth-commander in chief au general.....Pepo ni level ya chini sana upande wa shetty
 
Na si walokokole tuu hata madhehebu ya Dini nyingine pia kamwe hayamuwezi huyo wa kuitwa Shetani
 
Sijui wanayatoa wapi lakini pia vizazi vingapi vimepita vikimtukana na vimeshasambaratika duniani mamilioni ya miaka iliyopita
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hatari sana
 
"Yakobo 4:7-10 inasema Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia..." Kama wewe kakushinda kalaga baho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…