Ukweli mchungu kwa Walokole wote duniani, hamtamuweza Shetani, mtazaliwa kuzeeka na kuondoka hamtamuweza na dunia itabaki

Shetani ana acds 40% Jesus ana acds 100% shetani anakushinda kama hauna MUNGU.
Acds ni kipimo cha nguvu ya imani au uwezo wa nguvu za kiroho
Mfano mchawi anamroga Mkristo mwenye Acds ndogo kuliko mchawi.
So inategemea na wewe umeniconnect wapi.
Hizo percentages zimeandikwa wapi ili tukazisome vizuri. Isije ikawa umejitungia
 
Unawaambia nn wale wanaomchapa shetani kwa fimbo
Huwezi ukamsogelea mwili wake unatema shoti hapa duniani utazitafuta hutazipata, umeme wa grid ya Taifa ni cha mtoto, alishakuwa shida hafai tena mpaka baba yake anajivunia kuwa na kidume. Hizo shoti ndizo zinazowaunguza malaika wanaojaribu kumletea ujinga
 
Twende taratibu...

Umekubali kuwa kabla ya shetani binadamu alikuwa kama mnyama tu, si ndio?

Na unakubali kuwa kupitia shetani binadamu akajua mema na mabaya si ndio?
Mpaka hapo tu ushampiga hat trick uyo kondoo wa bwana hapo juu.

Kwa kifupi tu huyo mungu mwenyewe alimshindwa shetani huko mbinguni akamtupa duniani, na duniani pia kamshindwa ndo maana aliwapa adhabu adam na Eva ila alishindwa kumpa adhabu shetani
 
Babako ameku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…