Ukweli mchungu kwa Walokole wote duniani, hamtamuweza Shetani, mtazaliwa kuzeeka na kuondoka hamtamuweza na dunia itabaki

Ukweli mchungu kwa Walokole wote duniani, hamtamuweza Shetani, mtazaliwa kuzeeka na kuondoka hamtamuweza na dunia itabaki

Shetani ana acds 40% Jesus ana acds 100% shetani anakushinda kama hauna MUNGU.
Acds ni kipimo cha nguvu ya imani au uwezo wa nguvu za kiroho
Mfano mchawi anamroga Mkristo mwenye Acds ndogo kuliko mchawi.
So inategemea na wewe umeniconnect wapi.
Hizo percentages zimeandikwa wapi ili tukazisome vizuri. Isije ikawa umejitungia
 
Unawaambia nn wale wanaomchapa shetani kwa fimbo
Huwezi ukamsogelea mwili wake unatema shoti hapa duniani utazitafuta hutazipata, umeme wa grid ya Taifa ni cha mtoto, alishakuwa shida hafai tena mpaka baba yake anajivunia kuwa na kidume. Hizo shoti ndizo zinazowaunguza malaika wanaojaribu kumletea ujinga
 
Twende taratibu...

Umekubali kuwa kabla ya shetani binadamu alikuwa kama mnyama tu, si ndio?

Na unakubali kuwa kupitia shetani binadamu akajua mema na mabaya si ndio?
Mpaka hapo tu ushampiga hat trick uyo kondoo wa bwana hapo juu.

Kwa kifupi tu huyo mungu mwenyewe alimshindwa shetani huko mbinguni akamtupa duniani, na duniani pia kamshindwa ndo maana aliwapa adhabu adam na Eva ila alishindwa kumpa adhabu shetani
 
Walokole wote duniani nakupeni za ndani kuwa Shetani hafanyi vita na binadamu. Shetani ni Philosopher hivyo kwa sisi binadamu kwake tunaonekana wadudu fulani hivi.

Shetani hana umri wala hana mwisho, hali halali wala hachoki hakuna kitu chochote anachohitaji ili aweze kuishi kwa maana kwamba ni full package bali binadamu ana mwisho ambao ni kifo, anakula anachoka anaugua kwahiyo kupigana na Shetani ni ujinga mkubwa kuliko ujinga mwingine wowote unaoufahamu hapa duniani

Shetani hafanyi vita na binadamu kwasababu kwake ni kitu kidogo sana ukimsumbua anakupuliza tu kama karatasi unafia kule na hajawahi kumfuata mtu kwa lengo la kumdhuru kwasababu ana nguvu kubwa sana akishuka hapa Tanzania kwa hasira itatokea Tsunami wala hamtaweza kuishi tena.

Anaewasumbua ninyi ni vinyamkera na vibwengo lakini kwajinsi mlivyokosa ufahamu mnadhani ni Shetani mwenyewe.

Huwezi kuwa rafiki wa Shetani kama wewe ni mjinga kwasababu yeye ni Philosopher lazima uwe unajitambua na una akili timamu sio unakuwa mjinga mjinga uliebeba akilini ujinga.

Watu wanaofahamiana na Shetani sio watu wajinga ni wasomi wakubwa, wanasayansi wakubwa duniani na kila yeyote yule unayemfahamu ni mkubwa hapa duniani kwahiyo kumpigia kelele msomi wa kwanza duniani ni ujinga uliokubuhu.

Ifike mahali binadamu mjifunze kujishusha na sio kunyanyua vidomo vyenu kupigia kelele kitu msichokiweza tulieni muelekezwe.

Mbinguni kule ni nyumbani kwake na anaenda muda wote anaotaka na baba yake anamkaribisha sana sasa ninyi binadamu kati yenu wote nani anaekwenda Mbinguni na kurudi.

Nakupa za ndani kwataarifa yako Shetani akikukazia usikanyage Mbinguni hutatoa kwasababu hakuna asichokijua kule nyie wote hata 1% ya akili zake hamna tulieni muelekezwe dunia ilivyo.

Dhambi zote mlizotajiwa yeye anazitafsiri kama udhaifu wa binadamu, kwa maana kwamba anaezifanya anamtafsiri kama fala flani hivi kwahiyo usidhani dhambi zako unazofanya yeye ndiye kakutuma ni ujinga wako wewe mwenyewe unaoufanya kwa mikono yako mwenyewe.

Narudia kusema tena Shetani ni msomi wa kwanza duniani usijidanganye hata siku moja kuwa yeye ndiye kakwambia ukalawitiwe au ukalawiti au ukafe na ulevi au dhambi yeyote ile ni ujinga wako wewe mwenyewe.

Mtu mwenye akili kamwe hafanyi ujinga. Kwa taarifa yako nakupa za ndani Shetani haishi kuzimu kwasasa anaishi kwenye himaya yake mpya iliyojengwa kwa pure Gold. Kuzimu walioko kule kwa sasa ni binadamu peke yao kwahiyo mnapofanya maombi yenu ya kuzimu mnawapigia kelele wenzenu msifikiri yupo kule tena na bado na nyie mtasokomezwa kule ndo mpate utamu mana kwasasa hamjui mnachofanya ndo mana midomo yenu inawawasha kama mmelamba upupu

Mwili wake unatema shoti hapa duniani utazitafuta hutazipata, umeme wa grid ya Taifa ni cha mtoto, alishakuwa shida hafai tena mpaka baba yake anajivunia kuwa na kidume. Baba yake anampenda sana kwasababu ya umaridadi wake vitani. Hizo shoti ndizo zinazowaunguza malaika wanaojaribu kumletea ujinga
Babako ameku
 
Back
Top Bottom