Ukweli mchungu kwa Walokole wote duniani, hamtamuweza Shetani, mtazaliwa kuzeeka na kuondoka hamtamuweza na dunia itabaki

Aliye ndani yetu ni mkuu kuliko aliyeko ulimwenguni.Hatupigani na shetani kwa maana yupo anayetupigania
 
Usimfananishe mtu anayetembea na YESU KRISTO na hiyo takataka inayoitwa shetani
 
Kwa hiyo kashetani kamekutuma ututishe ...kambie kaje kenyewe
 
Yeye na Yesu nani alikufa kati yao
 
narudi kusoma nahisi kizunguzungu na maumivu makali ya kichwa
 
Dunia na milki zake zote ni mali ya shetani, ila wanadamu walivyo waovu wanataka kumnyang'anya na kumfukuza sijui wanataka aende wapi.
Sio kweli soma hapa
1 Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Zaburi 24:1
 
Hata CCM hamwezi kamwe na daima

CCM oyeeeee chama Cha mapinduzi kidumu milele
 
Alikufa ili Mimi na wewe tuokolewe...Dunia ilikuwa chini ya shetani baada ya kufa tupo huru......the choice is yours whether kuwa mwana wa MUNGU au shetani
Ni presha tu pale wanapodhani wamekutupa mara ghafla ukakubalika na kupendwa wanaanza tena kupanik. Huyu baba Shetani anapendwa na watu asee sio mchezo walijua kumtangaza kuwa ni mbaya atachukiwa ndo kwanza anasujudiwa na dunia nzima
 
Sio kweli soma hapa
1 Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Zaburi 24:1
Zaburi na wakorinto ni maneno au nadharia ya mwanadamu Daudi, Paulo na wenzao.
Embu
Soma Luka 4: 6-8
6-7 Akamwambia, “Uki piga magoti na kuniabudu, nitakupa uwezo juu ya milki zote hizi na fahari yake; maana ni zangu na ninaweza kumpa ye yote nita kaye.” 8 Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mungu wako na kumtumikia yeye peke yake.’ ”

Hapo Yesu hakumkatalia shetani madai yake ila alimuonesha tu mbali na hizo mali bado hastahili kuabudiwa na kumbuka hayo ni maongezi ya viumbe wawili wanaomfahamu Mungu kwa kumuona. Sasa hayo ya barua ni nadharia za binadamu ambaye hakuwahi kumuona Mungu kwa macho yake.
 
Wew ivi unamjua shetani alivyo muongo?....akiamua kukutungia story utasema kweli,,,,never Quote Satan....shetani ni baba wa uongo usimsikilize hata kidogo...
 
Wew ivi unamjua shetani alivyo muongo?....akiamua kukutungia story utasema kweli,,,,never Quote Satan....shetani ni baba wa uongo usimsikilize hata kidogo...
Shetani anaongea na Mungu muda wowote anaotaka, tena kwa kuonana sasa wewe unafikiri hajui maagano na maandiko?.

Aliongea na Mungu live kuhusu Ayubu, na zaidi ya yote ni muaminifu maana alifuata agizo la Mungu kuwa mtese ila usimuue na kweli hakumuua, ni binadamu wangapi wanaweza hilo swala, yaani ushindwe na ukubali kushindwa na kutimiza miadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…