Ukweli mchungu kwa Walokole wote duniani, hamtamuweza Shetani, mtazaliwa kuzeeka na kuondoka hamtamuweza na dunia itabaki

Ni kama kiini macho, kumbuka shetani ni roho, ana uwezo wa kiroho, binadamu ni kauwezo kiduuuuuchu ka kimwili. Utadiriki kusema "shetani toka " hakika utatoka wewe.
Ndo wanavyopotezaga muda watu
 
Kijana Usioe Wanawake wa Sampuli hizi

Akiwa Mlokole Mlokole Usioe
Akiwa Mwanakwaya Usioe
Akiwa na Vidole vimeachana sana mguuni Usiooooooe kimbia kimbia kimbia hio ni hatari
 
Nakazia!. Tena shetani na Mungu huwa wanapiga hadi story wala sio maadui, rejea kitabu cha Ayubu Mungu anamuuliza shetani VP umetoka wapi?, Shetani akajibu duniani huko. Mungu akamuuliza tena umemuona mtu wangu Ayubu anavyonipenda?, Nakuruhusu kamjaribu ila usimuue. Sasa walokole wanafikiri shetani ni adui mkubwa wa Mungu kumbe wao marafiki tu.
 
Shetani hajawahi kuwepo, hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Ni kweli shetani ananguvu zaidi ya binadamu lakini watumishi wa Mungu kina yesu na Malaika wananguvu zaidi yake.hao ndo wapo kuwasaidia binadamu.ananguvu kwa sababu anasiri za mbinguni.
 
Ni kweli shetani ananguvu zaidi ya binadamu lakini watumishi wa Mungu kina yesu na Malaika wananguvu zaidi yake.hao ndo wapo kuwasaidia binadamu.ananguvu kwa sababu anasiri za mbinguni.
Wangekuwa na nguvu Yesu angegeuza yale mawe kuwa mkate alipoambiwa na Shetani
 
Wangekuwa na nguvu Yesu angegeuza yale mawe kuwa mkate alipoambiwa na Shetani
Alikuwa na uwezo lakini alimjibu kwamba yeye anapokea maelekezo kutoka kwa Baba yake tu.wakuabudiwa ni Mungu tu.wewe unajaribu kumuabudu.lakini huyo shetani sio lolote kwa yesu na kwa Mungu.ni Malaika wa Mungu aliyepotoka na kuna sehemu yake imeandaliwa ya kwenda kuteswa kwa hiyo anatafuta kampani sasa hivi.mpe kampani tu ukitaka ila utajuta.
 
Mmeshawasili kwa kazi tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini
 
Baba Shetani hateswagi na baba yake, wanapendana sana na anaishi kwenye hekalu yake na sio matesoni
 
Baba Shetani hateswagi na baba yake, wanapendana sana na anaishi kwenye hekalu yake na sio matesoni
Sio kweli wanaweza kuongea kwa sababu anauwezo na maarifa kumbuka alikuwa mmoja wa Malaika. lakini muda wake upo wa kwenda mahali ilipoandaliwa kwenda kuteseka ndo maana anatafuta kampani kwa nguvu he knows his destination.
 
Bado hujanelewa, utachukua muda muda kunelewa, habari za kuzimu ilikua zamani sisi sasa, habari za sasa hamzijui mnafahamu zile za zamani, tulieni muelekezwe
 
Kwa mara ya kwanza eti Mr WHY kaja na jibu sijui tumnyang'anye jina au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…