Ukweli mchungu kwa Walokole wote duniani, hamtamuweza Shetani, mtazaliwa kuzeeka na kuondoka hamtamuweza na dunia itabaki

Wewe hizi habari kumhusu shetani umezitoa wapi
Tuanzie hapo
 
Shetani ametengeneza mfumo fulani wa maisha kumtukuza yeye anavyama vya siasa vikubwa duniani mfano democratic na kiongozi wao biden pale ukichunguza utakutana na devil figure,ukija Republican uku wao wanamtambua Yesu kristo kuwa ni mwokozi wa maisha yetu na wanapinga ushoga kwa biden hawamtambui Yesu na wanasapoti ushoga.
 
Wewe umeandika nini hueleweki Mbona
 
Mtumishi wa Shetani kazini,ninakutaarifu kuwa huyo Shetani wako ni zaidi ya aliyeshindwa.
 
Shetani ana acds 40% Jesus ana acds 100% shetani anakushinda kama hauna MUNGU.
Acds ni kipimo cha nguvu ya imani au uwezo wa nguvu za kiroho
Mfano mchawi anamroga Mkristo mwenye Acds ndogo kuliko mchawi.
So inategemea na wewe umeniconnect wapi.

Waefeso 6:11-12

11 Vaeni silaha zote za Mungu ili mpate kusimama na kupin gana na hila zote za shetani. 12 Kwa maana hatupambani na bina damu, bali tunapambana na tawala na mamlaka na nguvu za ulimwengu huu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
 

Jibu la yote uliyoandika lipo hapa: Waefeso 6:11-12

11 Vaeni silaha zote za Mungu ili mpate kusimama na kupingana na hila zote za shetani. 12 Kwa maana hatupambani na binadamu, bali tunapambana na tawala na mamlaka na nguvu za ulimwengu huu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Wenye masikio wasikie.
 
Mtumishi wa Shetani kazini,ninakutaarifu kuwa huyo Shetani wako ni zaidi ya aliyeshindwa.
Hii ni chuma bin chuma kauli ya kushindwa mnaitumia ninyi kuficha udhaifu wenu pale baba Shetani anapowainamisha
 
Huu mstari Wakristo wengi hawautumii thus wanagalagazwa na wachawi
 
We jiulize ni mara ngapi na vizazi vingapi vya walokole vinamkanyaga na kumchoma moto lakini mwamba yupo tu...angalia ata wakati akipiga story na MUNGU kuhusu kuomba ruhusa ya kumsulubu ayubu,,,MUNGU alimpa ruksa na Tena alimwambia asimguse tu roho yake..hakuna sehemu shetani aligombezwa😁😁...swali kwa walokole: ninyi mamlaka ya kumgombeza mmeyatoa wapi..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…