Yaliyosemwa ni uongo mkuu au ni kweli? Tuanzie hapo kwanza.
Hapo ulipomalizia ndio kumedhihirisha kuwa wewe ni shabiki wa timu gani. Ukiwa muongo uwe na kumbukumbuMapovu ya nini kwani yaliyosemwa ni uongo wakuu vyura? [emoji196]
Simba taifa kubwaaa! Ushauri mzuri Sana kwa Wana jangwani.Naitwa Charles Mafuru shabiki na mwanachama wa Young Africans,
Nikiwa na akili timamu na pasipo kushawishiwa na yeyote pia nikiwa kama mwanasoka, sio dhambi wala sio ujinga kutoa mtazamo wangu.
Nimeamua kuandika haya kutokana na wanayanga wenzangu wengi kuendelea kuibeza Simba katika hatua walofikia kimataifa.
Sisi Yanga tumekua kimataifa takribani miaka 7 hadi 8 mfululizo lakini tumeshindwa kufanya vizuri hasa kwenye ligi ya Mabingwa Africa yani hatukua tunafika popote zaidii ya tunapofeli kuangukia Shirikisho kila mwaka kwa miaka 7.
Lakini wenzetu Simba Sc ndani ya miaka miwili tu wamefuzu hadi Makundi ya Ligi ya Mabingwa Africa hatua ambayo sisi yanga imetushinda kwa Miaka 7 mfululizo.
Ukweli utasimama tu, wenzetu Simba kwenye level ya kimataifa Hatuwawezi na ni makosa makubwa sana sisi kujilinganisha nao katka level za CAF.
Ona sasa kwa sasa Simba wanaongoza kundi D lenye timu za Al ahly, As Vita Club na JS Saoura iyo sio kitu cha mchezo mchezo, kwenye ili yanga tumefumbwa midomo kabisaaa, Ebu tuwaache awa jamaa kuwafatilia kwani kufanya ivo ni kupoteza muda tu, sisi tujiandae tu kucheza ligi na wakina Ndanda, Stand,Mwadui nk.
Hivi ni mchezaji wetu gani pale yanga sasa hivi tumpeleke Simba aingie kwenye kikosi cha kwanza moja kwa moja,mm simuoni yaani labda yondani napo mpaka yule Uchebe amuhurumie maana kwenye Wawa,Nyoni na Juuko siioni nafasi ya Yondani.
Sasa mimi nadhani wanayanga wenzangu tuwaheshimu Simba hatua waliyopo sisi tulishindwa kufika hata pale tulipokua bora, yaani mara ya mwisho ni 1998 napo tuliambulia pointi 2 wakati wenzetu mechi yao moja tu tayari wana points 3.
Namaliza kwa kusema wanayanga tuache kujitoa ufahamu katika hili.
Acha kujitoa ufahamu wewe. Kwanza huwezi kuwa Yanga. Labda mamluki.Naitwa Charles Mafuru shabiki na mwanachama wa Young Africans,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kutudanganya na hilo limkia lako
Uongo ni upi aliouongea hapa?Acha kutudanganya na hilo limkia lako
Safi kabisa mkuu.Naitwa Charles Mafuru shabiki na mwanachama wa Young Africans,
Nikiwa na akili timamu na pasipo kushawishiwa na yeyote pia nikiwa kama mwanasoka, sio dhambi wala sio ujinga kutoa mtazamo wangu.
Nimeamua kuandika haya kutokana na wanayanga wenzangu wengi kuendelea kuibeza Simba katika hatua walofikia kimataifa.
Sisi Yanga tumekua kimataifa takribani miaka 7 hadi 8 mfululizo lakini tumeshindwa kufanya vizuri hasa kwenye ligi ya Mabingwa Africa yani hatukua tunafika popote zaidii ya tunapofeli kuangukia Shirikisho kila mwaka kwa miaka 7.
Lakini wenzetu Simba Sc ndani ya miaka miwili tu wamefuzu hadi Makundi ya Ligi ya Mabingwa Africa hatua ambayo sisi yanga imetushinda kwa Miaka 7 mfululizo.
Ukweli utasimama tu, wenzetu Simba kwenye level ya kimataifa Hatuwawezi na ni makosa makubwa sana sisi kujilinganisha nao katka level za CAF.
Ona sasa kwa sasa Simba wanaongoza kundi D lenye timu za Al ahly, As Vita Club na JS Saoura iyo sio kitu cha mchezo mchezo, kwenye ili yanga tumefumbwa midomo kabisaaa, Ebu tuwaache awa jamaa kuwafatilia kwani kufanya ivo ni kupoteza muda tu, sisi tujiandae tu kucheza ligi na wakina Ndanda, Stand,Mwadui nk.
Hivi ni mchezaji wetu gani pale yanga sasa hivi tumpeleke Simba aingie kwenye kikosi cha kwanza moja kwa moja,mm simuoni yaani labda yondani napo mpaka yule Uchebe amuhurumie maana kwenye Wawa,Nyoni na Juuko siioni nafasi ya Yondani.
Sasa mimi nadhani wanayanga wenzangu tuwaheshimu Simba hatua waliyopo sisi tulishindwa kufika hata pale tulipokua bora, yaani mara ya mwisho ni 1998 napo tuliambulia pointi 2 wakati wenzetu mechi yao moja tu tayari wana points 3.
Namaliza kwa kusema wanayanga tuache kujitoa ufahamu katika hili.
Sio kweli! Vyura ndio hawana furaha na wanaona Simba hawakustahili kuwa hapo.Kuna raha fulani Simba hawana. Hawana furaha kabisa hata hapa walipofikia, wanaona kama hawakustahili.
Wewe ni mkia.Yanga hatufuatilii habari za mikia.Naitwa Charles Mafuru shabiki na mwanachama wa Young Africans,
Nikiwa na akili timamu na pasipo kushawishiwa na yeyote pia nikiwa kama mwanasoka, sio dhambi wala sio ujinga kutoa mtazamo wangu.
Nimeamua kuandika haya kutokana na wanayanga wenzangu wengi kuendelea kuibeza Simba katika hatua walofikia kimataifa.
Sisi Yanga tumekua kimataifa takribani miaka 7 hadi 8 mfululizo lakini tumeshindwa kufanya vizuri hasa kwenye ligi ya Mabingwa Africa yani hatukua tunafika popote zaidii ya tunapofeli kuangukia Shirikisho kila mwaka kwa miaka 7.
Lakini wenzetu Simba Sc ndani ya miaka miwili tu wamefuzu hadi Makundi ya Ligi ya Mabingwa Africa hatua ambayo sisi yanga imetushinda kwa Miaka 7 mfululizo.
Ukweli utasimama tu, wenzetu Simba kwenye level ya kimataifa Hatuwawezi na ni makosa makubwa sana sisi kujilinganisha nao katka level za CAF.
Ona sasa kwa sasa Simba wanaongoza kundi D lenye timu za Al ahly, As Vita Club na JS Saoura iyo sio kitu cha mchezo mchezo, kwenye ili yanga tumefumbwa midomo kabisaaa, Ebu tuwaache awa jamaa kuwafatilia kwani kufanya ivo ni kupoteza muda tu, sisi tujiandae tu kucheza ligi na wakina Ndanda, Stand,Mwadui nk.
Hivi ni mchezaji wetu gani pale yanga sasa hivi tumpeleke Simba aingie kwenye kikosi cha kwanza moja kwa moja,mm simuoni yaani labda yondani napo mpaka yule Uchebe amuhurumie maana kwenye Wawa,Nyoni na Juuko siioni nafasi ya Yondani.
Sasa mimi nadhani wanayanga wenzangu tuwaheshimu Simba hatua waliyopo sisi tulishindwa kufika hata pale tulipokua bora, yaani mara ya mwisho ni 1998 napo tuliambulia pointi 2 wakati wenzetu mechi yao moja tu tayari wana points 3.
Namaliza kwa kusema wanayanga tuache kujitoa ufahamu katika hili.
Du! Tuliambiwa Simba imewapiga vibonde vipi tena Ahly imewashindwa? Huenda mnyama akaendelea kuongoza kundi baadaye mbona kuna watu watateseka?Ohhh Simba imefunga team mbovu, haya hiyo mbovu imeishika Al Ahly tena Ahly wamefanya kuchomoa dakika za mwisho.
Baadae mnyama anachinja As Vita anaendelea kupepea kileleni.
Vyura yenu madimbwi tu [emoji196][emoji196]View attachment 998600