Ukweli Mchungu kwa Wana Yanga Wote

Ukweli Mchungu kwa Wana Yanga Wote

Nyie pigeni kelele ila mfahamu kuwa msimu ujao hizo mechi za Klabu bingwa msimu ujao mtakuwa mnashangilia timu za wageni
Na iwe hivyo...tofauti na hapo timu itapukutika tena viongozi, sio kwa madeni hayo na wananchi watachoka kuchanga
 
Naitwa Charles Mafuru shabiki na mwanachama wa Young Africans,
Nikiwa na akili timamu na pasipo kushawishiwa na yeyote pia nikiwa kama mwanasoka, sio dhambi wala sio ujinga kutoa mtazamo wangu.


Nimeamua kuandika haya kutokana na wanayanga wenzangu wengi kuendelea kuibeza Simba katika hatua walofikia kimataifa.

Sisi Yanga tumekua kimataifa takribani miaka 7 hadi 8 mfululizo lakini tumeshindwa kufanya vizuri hasa kwenye ligi ya Mabingwa Africa yani hatukua tunafika popote zaidii ya tunapofeli kuangukia Shirikisho kila mwaka kwa miaka 7.

Lakini wenzetu Simba Sc ndani ya miaka miwili tu wamefuzu hadi Makundi ya Ligi ya Mabingwa Africa hatua ambayo sisi yanga imetushinda kwa Miaka 7 mfululizo.

Ukweli utasimama tu, wenzetu Simba kwenye level ya kimataifa Hatuwawezi na ni makosa makubwa sana sisi kujilinganisha nao katka level za CAF.

Ona sasa kwa sasa Simba wanaongoza kundi D lenye timu za Al ahly, As Vita Club na JS Saoura iyo sio kitu cha mchezo mchezo, kwenye ili yanga tumefumbwa midomo kabisaaa, Ebu tuwaache awa jamaa kuwafatilia kwani kufanya ivo ni kupoteza muda tu, sisi tujiandae tu kucheza ligi na wakina Ndanda, Stand,Mwadui nk.

Hivi ni mchezaji wetu gani pale yanga sasa hivi tumpeleke Simba aingie kwenye kikosi cha kwanza moja kwa moja,mm simuoni yaani labda yondani napo mpaka yule Uchebe amuhurumie maana kwenye Wawa,Nyoni na Juuko siioni nafasi ya Yondani.

Sasa mimi nadhani wanayanga wenzangu tuwaheshimu Simba hatua waliyopo sisi tulishindwa kufika hata pale tulipokua bora, yaani mara ya mwisho ni 1998 napo tuliambulia pointi 2 wakati wenzetu mechi yao moja tu tayari wana points 3.

Namaliza kwa kusema wanayanga tuache kujitoa ufahamu katika hili.
Unashindwa kutumia njia mbadala ya kutuficha kua ww ni Simba ila umetumia akili ndogo kufanikisha hili suala sasa nikwambie nini maana ya ushabiki....Hata Simba achukue kombe la mabingwa Africa hamna shabiki wa yanga atakaekubaliana na hlo suala ......na ww wakumtambia na hilo kombe ni mpinzani mwenzako wala hamna mwengine...kwahyo unapotaka akubaliane naww ni kama vile kuua upinzani Kama tunavoona awamu ya tano inavofanya......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unashindwa kutumia njia mbadala ya kutuficha kua ww ni Simba ila umetumia akili ndogo kufanikisha hili suala sasa nikwambie nini maana ya ushabiki....Hata Simba achukue kombe la mabingwa Africa hamna shabiki wa yanga atakaekubaliana na hlo suala ......na ww wakumtambia na hilo kombe ni mpinzani mwenzako wala hamna mwengine...kwahyo unapotaka akubaliane naww ni kama vile kuua upinzani Kama tunavoona awamu ya tano inavofanya......

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukubali hawatakubali...hata kukataa hawatakataa... ndio unafiki wenyewe huo na aibu juu.
 
....Hata Simba achukue kombe la mabingwa Africa hamna shabiki wa yanga atakaekubaliana na hlo suala ......

Hiki kipande kimenifurahisha sana. Hapa ndio utajua wanaojua mpira na wasiojua. Kusema kwamba hakuna shabiki wa yanga atakaekubaliana na hilo suala ina maana simba ndio atafutiwa ubingwa?

Tumia akili chief [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale simba ni wachezaji wawili tu wanaweza pata namba yanga, okwi na wawa tu, tena wawa anasubiri benchi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga ni H. Makambo tu atacheza kwa Bocco.
Ila simba ..
Manula
Kapombe
Zimbwe
Wawa
Nyoni
Kotei
Mkude
Chama
Kichuya
Kagere
Okwi
Dilunga
Mzamiru
Ndemla
Mo
Bocco
Gyan
Haruna
Mlipili
Salamba
R.Juma n.k
Wanapata namba yanga ya akina buswita...ikiwa Ajibu kawa captain tena roho ya timu .
 
Back
Top Bottom