Ukweli Mchungu kwa Wana Yanga Wote

Nyie pigeni kelele ila mfahamu kuwa msimu ujao hizo mechi za Klabu bingwa msimu ujao mtakuwa mnashangilia timu za wageni
Na iwe hivyo...tofauti na hapo timu itapukutika tena viongozi, sio kwa madeni hayo na wananchi watachoka kuchanga
 
Unashindwa kutumia njia mbadala ya kutuficha kua ww ni Simba ila umetumia akili ndogo kufanikisha hili suala sasa nikwambie nini maana ya ushabiki....Hata Simba achukue kombe la mabingwa Africa hamna shabiki wa yanga atakaekubaliana na hlo suala ......na ww wakumtambia na hilo kombe ni mpinzani mwenzako wala hamna mwengine...kwahyo unapotaka akubaliane naww ni kama vile kuua upinzani Kama tunavoona awamu ya tano inavofanya......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukubali hawatakubali...hata kukataa hawatakataa... ndio unafiki wenyewe huo na aibu juu.
 
....Hata Simba achukue kombe la mabingwa Africa hamna shabiki wa yanga atakaekubaliana na hlo suala ......

Hiki kipande kimenifurahisha sana. Hapa ndio utajua wanaojua mpira na wasiojua. Kusema kwamba hakuna shabiki wa yanga atakaekubaliana na hilo suala ina maana simba ndio atafutiwa ubingwa?

Tumia akili chief [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale simba ni wachezaji wawili tu wanaweza pata namba yanga, okwi na wawa tu, tena wawa anasubiri benchi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga ni H. Makambo tu atacheza kwa Bocco.
Ila simba ..
Manula
Kapombe
Zimbwe
Wawa
Nyoni
Kotei
Mkude
Chama
Kichuya
Kagere
Okwi
Dilunga
Mzamiru
Ndemla
Mo
Bocco
Gyan
Haruna
Mlipili
Salamba
R.Juma n.k
Wanapata namba yanga ya akina buswita...ikiwa Ajibu kawa captain tena roho ya timu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…