Wangekua bora kuliko wa yanga wangekua wanaongoza ligi,Yanga ni H. Makambo tu atacheza kwa Bocco.
Ila simba ..
Manula
Kapombe
Zimbwe
Wawa
Nyoni
Kotei
Mkude
Chama
Kichuya
Kagere
Okwi
Dilunga
Mzamiru
Ndemla
Mo
Bocco
Gyan
Haruna
Mlipili
Salamba
R.Juma n.k
Wanapata namba yanga ya akina buswita...ikiwa Ajibu kawa captain tena roho ya timu .
Mimi ni mwanayanga yanga nadiriki kulike comment yako kwa kusema hatuwezi kuwa na mwana yanga nungayembe kama huyu.Mimi ni shabiki wa Simba ila sijawahi kuona shabiki wa Yanga mnafiki hivi.
Simba tutaenda mbele hata kama Yanga wanabeza.
Jamaa ushabiki wake wa hovyo anawatwisha na wenzie... ni kama Yanga wabebe ndoo ya ligi eti Simba tubishe tu... (daa watu bhanaHiki kipande kimenifurahisha sana. Hapa ndio utajua wanaojua mpira na wasiojua. Kusema kwamba hakuna shabiki wa yanga atakaekubaliana na hilo suala ina maana simba ndio atafutiwa ubingwa?
Tumia akili chief [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sibonike, demigod na kundi lenu.Naitwa Charles Mafuru shabiki na mwanachama wa Young Africans,
Nikiwa na akili timamu na pasipo kushawishiwa na yeyote pia nikiwa kama mwanasoka, sio dhambi wala sio ujinga kutoa mtazamo wangu.
Nimeamua kuandika haya kutokana na wanayanga wenzangu wengi kuendelea kuibeza Simba katika hatua walofikia kimataifa.
Sisi Yanga tumekua kimataifa takribani miaka 7 hadi 8 mfululizo lakini tumeshindwa kufanya vizuri hasa kwenye ligi ya Mabingwa Africa yani hatukua tunafika popote zaidii ya tunapofeli kuangukia Shirikisho kila mwaka kwa miaka 7.
Lakini wenzetu Simba Sc ndani ya miaka miwili tu wamefuzu hadi Makundi ya Ligi ya Mabingwa Africa hatua ambayo sisi yanga imetushinda kwa Miaka 7 mfululizo.
Ukweli utasimama tu, wenzetu Simba kwenye level ya kimataifa Hatuwawezi na ni makosa makubwa sana sisi kujilinganisha nao katka level za CAF.
Ona sasa kwa sasa Simba wanaongoza kundi D lenye timu za Al ahly, As Vita Club na JS Saoura iyo sio kitu cha mchezo mchezo, kwenye ili yanga tumefumbwa midomo kabisaaa, Ebu tuwaache awa jamaa kuwafatilia kwani kufanya ivo ni kupoteza muda tu, sisi tujiandae tu kucheza ligi na wakina Ndanda, Stand,Mwadui nk.
Hivi ni mchezaji wetu gani pale yanga sasa hivi tumpeleke Simba aingie kwenye kikosi cha kwanza moja kwa moja,mm simuoni yaani labda yondani napo mpaka yule Uchebe amuhurumie maana kwenye Wawa,Nyoni na Juuko siioni nafasi ya Yondani.
Sasa mimi nadhani wanayanga wenzangu tuwaheshimu Simba hatua waliyopo sisi tulishindwa kufika hata pale tulipokua bora, yaani mara ya mwisho ni 1998 napo tuliambulia pointi 2 wakati wenzetu mechi yao moja tu tayari wana points 3.
Namaliza kwa kusema wanayanga tuache kujitoa ufahamu katika hili.
unaweza ukawa wa kwanza kutongoza na usilambe... Mwingine akatoka nyuma akalamba mzigo
Kimichezo ni kwamba Yanga wana rekod nzuri kimataifa kuliko Simba.Mimi ni mwanayanga yanga nadiriki kulike comment yako kwa kusema hatuwezi kuwa na mwana yanga nungayembe kama huyu.
Sitaki kujadili alichokisema kwa sababu mengi kaandika kimapenzi na siyo kimichezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hali ikiendelea hivi basi mnyamakazi lazma atawaudhi raia flani. Wale vijana wa bwawani leo andaeni Fragile msije mkaharisha hadi mkakata seal!Ohhh Simba imefunga team mbovu, haya hiyo mbovu imeishika Al Ahly tena Ahly wamefanya kuchomoa dakika za mwisho.
Baadae mnyama anachinja As Vita anaendelea kupepea kileleni.
Vyura yenu madimbwi tu [emoji196][emoji196]View attachment 998600
Huko caf tumeshacheza mpaka tumekinai...unaweza ukawa wa kwanza kutongoza na usilambe... Mwingine akatoka nyuma akalamba mzigo
Wewe ukabaki kuunga vifurushi vya chuo tu.
Ni wazuri ndio maana wako CAF makundi
16 Bora Afrika.
Huko caf tumeshacheza mpaka tumekinai...
Na kimataifa mwaka huu hamchezi, labda muombe tuchukue na FA na nyie mshike nafasi ya 2 tuwape nafasi moja...
Mechi 6 Point 2 mwaka 1998....sisi tuna Point 3 game 1Huko caf tumeshacheza mpaka tumekinai...
Na kimataifa mwaka huu hamchezi, labda muombe tuchukue na FA na nyie mshike nafasi ya 2 tuwape nafasi moja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mafanikio yenu kimataifa..
Aingie na point 2Na pia ukumbuke hapo yanga iliingia 8 bora caf africa wakati simba imeingia 16 bora, maanake ilifika robo fainali, simba hamtakaa mguse 8 bora, labda tuwatangulie kuchukua hilo kombe, maana nyie hua mnafuata nyuma record yanga....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaa, wee wala hujawahi yafikiaNdio mafanikio yenu kimataifa..
😛😀 Mtangoja Sana kitimoto msikitini
Mwaka 2003 ulikua Bado haujaanza kufatilia Mpira Simba ikicheza 8 Bora? Yanga yangu mnashida kweliNa pia ukumbuke hapo yanga iliingia 8 bora caf africa wakati simba imeingia 16 bora, maanake ilifika robo fainali, simba hamtakaa mguse 8 bora, labda tuwatangulie kuchukua hilo kombe, maana nyie hua mnafuata nyuma record yanga....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa faida yako tuu Simba alishinda mechi mbili uwanja wa zamani wa taifa aka shamba la Bibi, na sare na ismailia kimagumashi alimfunga Enyimba 2-1 ambae baadae akaenda kuwa bingwa wa Africa,alimfunga Asec mimosa 1-0,na sare 0-0 na ismailia...msimamo uliishaNa pia ukumbuke hapo yanga iliingia 8 bora caf africa wakati simba imeingia 16 bora, maanake ilifika robo fainali, simba hamtakaa mguse 8 bora, labda tuwatangulie kuchukua hilo kombe, maana nyie hua mnafuata nyuma record yanga....
Sent using Jamii Forums mobile app