Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,711
- 3,279
Wasubiri miaka 7 ijayoš¤øš¤øLigi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivo siasa zenyewe.
Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika.
Wapinzani mtafute njia nyingine za kufurahisha wapenzi wenu ila kuhusu ubingwa wa ligi sahauni kabisa kwa sasa
Na ndio maana kimataifa timu zenu hazifiki popote kwani kule makosa ya kijinga jinga kama hayo ya jana,ni ngumu kuyakuta.Na mala zote anayeonewa ni timu ndogo tuUnateseka ukiwa wapi? Kama kua timu ya kuifunga si iifunge tukiwa tunaona,
Ukiisikia kujiongeza Ndio huko,tumieni na nyie makosa kujiongezaš¶Na ndio maana kimataifa timu zenu hazifiki popote kwani kule makosa ya kijinga jinga kama hayo ya jana,ni ngumu kuyakuta.Na mala zote anayeonewa ni timu ndogo tu
We pia ni timu ndogo?Na ndio maana kimataifa timu zenu hazifiki popote kwani kule makosa ya kijinga jinga kama hayo ya jana,ni ngumu kuyakuta.Na mala zote anayeonewa ni timu ndogo tu
mimi mpira wa kibongo ulishanishinda toka miaka hiyo,ni ubabaishaji tu,eti kocha anaitwa PROF.wakati mbinu anazotumia ni kama zile za kufundisha watotokuhesabu kwa kutumia visoda!!We pia ni timu ndogo?
Una makombe mangapi au medali ngapi za kimataifa?Na ndio maana kimataifa timu zenu hazifiki popote kwani kule makosa ya kijinga jinga kama hayo ya jana,ni ngumu kuyakuta.Na mala zote anayeonewa ni timu ndogo tu
Ila kuna baadhi ya Mashabiki wa Yanga niliwaangalia timu ilipotolewa na AL-hilal waliumia sana, na bado wanaumia kwani Hawana uhakika kama Watapenya kwa Club Africain.Ligi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivo siasa zenyewe.
Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika.
Wapinzani mtafute njia nyingine za kufurahisha wapenzi wenu ila kuhusu ubingwa wa ligi sahauni kabisa kwa sasa
Simba hawataki tu kuwa serious yanga Wana mbinu mbili tu kuu na hizo kuzidhibiti ni simple tu ni vile tu Simba ya babrabra haishirikishi ma mafya , amini nakwambia utopolo ni wepesi Kama biskutiLigi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivo siasa zenyewe.
Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika.
Wapinzani mtafute njia nyingine za kufurahisha wapenzi wenu ila kuhusu ubingwa wa ligi sahauni kabisa kwa sasa
Nimeandika kuhusu ligi ya hapa kwetu Tanzania.Ila kuna baadhi ya Mashabiki wa Yanga niliwaangalia timu ilipotolewa na AL-hilal waliumia sana, na bado wanaumia kwani Hawana uhakika kama Watapenya kwa Club Africain.
Unaweza kuyataja?Simba hawataki tu kuwa serious yanga Wana mbinu mbili tu kuu na hizo kuzidhibiti ni simple tu ni vile tu Simba ya babrabra haishirikishi ma mafya , amini nakwambia utopolo ni wepesi Kama biskuti
Maana wao wanategemea Mambo mawili tu ndio washinde
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kamrudisheni makonda kuwa mkuu wa mkoa awasaidie kama zamani mlivyokuwa mnatamba kwa sasa mtateseka sana maana kibao kimewageukia mmeanza kulia lia kama mijusi, Ya makonda mmeshayasahau mara hii? Au mnajitoa ufahamuLigi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivyo siasa zenyewe.
Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba 1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika.
Wapinzani mtafute njia nyingine za kufurahisha wapenzi wenu ila kuhusu ubingwa wa ligi sahauni kabisa kwa sasa