Ukweli mchungu kwa wapinzani wa Yanga

Ukweli mchungu kwa wapinzani wa Yanga

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Ligi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivyo siasa zenyewe.

Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba 1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika.

Wapinzani mtafute njia nyingine za kufurahisha wapenzi wenu ila kuhusu ubingwa wa ligi sahauni kabisa kwa sasa
 
Ligi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivo siasa zenyewe.

Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika.

Wasubiri miaka 7 ijayo🤸🤸
 
Unateseka ukiwa wapi? Kama kua timu ya kuifunga si iifunge tukiwa tunaona,
Na ndio maana kimataifa timu zenu hazifiki popote kwani kule makosa ya kijinga jinga kama hayo ya jana,ni ngumu kuyakuta.Na mala zote anayeonewa ni timu ndogo tu
 
Ukiisikia kujiongeza Ndio huko,tumieni na nyie makosa kujiongeza🚶
 
Ligi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivo siasa zenyewe.

Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika.

Wapinzani mtafute njia nyingine za kufurahisha wapenzi wenu ila kuhusu ubingwa wa ligi sahauni kabisa kwa sasa
Ila kuna baadhi ya Mashabiki wa Yanga niliwaangalia timu ilipotolewa na AL-hilal waliumia sana, na bado wanaumia kwani Hawana uhakika kama Watapenya kwa Club Africain.
 
Simba hawataki tu kuwa serious yanga Wana mbinu mbili tu kuu na hizo kuzidhibiti ni simple tu ni vile tu Simba ya babrabra haishirikishi ma mafya , amini nakwambia utopolo ni wepesi Kama biskuti

Maana wao wanategemea Mambo mawili tu ndio washinde

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nimeandika kuhusu ligi ya hapa kwetu Tanzania.
 
Simba hawataki tu kuwa serious yanga Wana mbinu mbili tu kuu na hizo kuzidhibiti ni simple tu ni vile tu Simba ya babrabra haishirikishi ma mafya , amini nakwambia utopolo ni wepesi Kama biskuti

Maana wao wanategemea Mambo mawili tu ndio washinde

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Unaweza kuyataja?

Au kuhonga na Ulozi?
 
Ligi yetu inaendeshwa kisiasa kama zilivyo siasa zenyewe.

Usitegemee kuiona Yanga ikishika tofauti na namba 1 kwenye ligi ya hapa kivyovyote hadi pale system ya nchi itakapobadilika.

Wapinzani mtafute njia nyingine za kufurahisha wapenzi wenu ila kuhusu ubingwa wa ligi sahauni kabisa kwa sasa
Kamrudisheni makonda kuwa mkuu wa mkoa awasaidie kama zamani mlivyokuwa mnatamba kwa sasa mtateseka sana maana kibao kimewageukia mmeanza kulia lia kama mijusi, Ya makonda mmeshayasahau mara hii? Au mnajitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom