Ukweli Mchungu: Kwa watumishi wa Serikalini, Waajiri wetu wengi hawataki tuufikie Utajiri, wanataka tufikirie Survival tu!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Kwa level ya Taifa, ukimpa mwananchi umeme, barabara, huduma za afya, maji safi, elimu bora nk, unampa uwezo wa kukuhoji utendaji wa serikali, ila Ukimwacha na njaa, unakuwa umempa kazi moja tu, kupambana kesho ale asife.

Hii ina apply pia kwa maboss wetu maofisini. Wengi sana wanafanya maksudi kutubania ili tuishi maisha magumu wakiamini tunavyokua na njaa ndio tunakua loyal.

Hii ata baadhi ya Wanaphilosophy wameshawahi prove, mfano: Karl Marx yeye alisema “The state pays public servants enough to survive, but never enough to escape. Their salary is not a reward; it is a leash.”

Akimaanisha mshahara ni kama golden handcuffs.

Na kama haitoshi, waajiri wetu wako radhi waweke zoezi la kukopa mikopo liwe rahisi kuliko mazoezi mengine ambayo yanafaida kwako direct kama kupanda cheo, kupata ruhusa kwenda kusoma au kuhama taasisi. Hii wameingia mikataba na Mabank mfano kupata salary advance ndani ya dakika 1 au kukopa Mil 50 bank ndani ya ESS within a day.

Hizo pia Karl amewahi gusia, kuanzia madeni na kubadirisha ata waajiri, mfano: “The Roman slave was held by chains; the wage-labourer is bound to his owner by invisible threads. The appearance of independence is kept up by a constant change of employers, and by the fictio juris of a contract”.

Sasa jaribu leo kuhama serikalini kutoka ofisi A kwenda B. Utaonekana adui, msaliti na watakuwekea vikwazo hadi usifanikiwe. Na ukibaki wanakutenga wanakuona wewe kama msaliti.

Pia waajiri/maboss wanatabia ya kubana hela za posho mfano Extra Duties, posho za ndani, nk. wanabana kwa kuzichelewesha kwa viteteo ofisi haina hela. Hii yote bado ni njia ya kukuweka wewe uishi tegemezi na uwe na matumaini kwamba maybe kesho watanipa ivyo ivyo ata miezi 6 ikapita. Hamna muajiri serikalini anaekulipa posho kwa wakati. Hamna.

Mfano, msociology Pierre Bourdieu alistate: “By delaying extra-duty allowances and paying them in unpredictable fragments, the employer transforms a legal right into a perceived favor.”

Ndio maana, tukishalipwa hela zetu ambazo tulikua tunadai ofisi, tunaona kama tumesaidiwa na Asante kibao kwenye magroup wakati ni haki yako. Wao ndio inabidi waseme samahani kwa kuchelewesha.

Ni ngumu sana kwa waajiriwa kutoboa, sio tu kwasababu mishahara midogo, pia kwasababu maboss zetu hawataki kabisa tutoboe. Maboss wote mliopo humu, mkumbuke na nyie mlikua chini, ukiweza wasaidie waliochini yako. Otherwise na wewe wale wale tu!
 
Kwa level ya Taifa, ukimpa mwananchi umeme, barabara, huduma za afya, maji safi, elimu bora nk, unampa uwezo wa kukuhoji utendaji wa serikali, ila Ukimwacha na njaa, unakuwa umempa kazi moja tu, kupambana kesho ale asife.

Hii ina apply pia kwa maboss wetu maofisini. Wengi sana wanafanya maksudi kutubania ili tuishi maisha magumu wakiamini tunavyokua na njaa ndio tunakua loyal.

Hii ata baadhi ya Wanaphilosophy wameshawahi prove, mfano: Karl Marx yeye alisema “The state pays public servants enough to survive, but never enough to escape. Their salary is not a reward; it is a leash.”

Akimaanisha mshahara ni kama golden handcuffs.

Na kama haitoshi, waajiri wetu wako radhi waweke zoezi la kukopa mikopo liwe rahisi kuliko mazoezi mengine ambayo yanafaida kwako direct kama kupanda cheo, kupata ruhusa kwenda kusoma au kuhama taasisi. Hii wameingia mikataba na Mabank mfano kupata salary advance ndani ya dakika 1 au kukopa Mil 50 bank ndani ya ESS within a day.

Hizo pia Karl amewahi gusia, kuanzia madeni na kubadirisha ata waajiri, mfano: “The Roman slave was held by chains; the wage-labourer is bound to his owner by invisible threads. The appearance of independence is kept up by a constant change of employers, and by the fictio juris of a contract”.

Sasa jaribu leo kuhama serikalini kutoka ofisi A kwenda B. Utaonekana adui, msaliti na watakuwekea vikwazo hadi usifanikiwe. Na ukibaki wanakutenga wanakuona wewe kama msaliti.

Pia waajiri/maboss wanatabia ya kubana hela za posho mfano Extra Duties, posho za ndani, nk. wanabana kwa kuzichelewesha kwa viteteo ofisi haina hela. Hii yote bado ni njia ya kukuweka wewe uishi tegemezi na uwe na matumaini kwamba maybe kesho watanipa ivyo ivyo ata miezi 6 ikapita. Hamna muajiri serikalini anaekulipa posho kwa wakati. Hamna.

Mfano, msociogy
Pierre Bourdieu alistate: “By delaying extra-duty allowances and paying them in unpredictable fragments, the employer transforms a legal right into a perceived favor.”

Ndio maana, tukishalipwa hela zetu ambazo tulikua tunadai ofisi, tunaona kama tumesaidiwa na Asante kibao kwenye magroup wakati ni haki yako. Wao ndio inabidi waseme samahani kwa kuchelewesha.

Ni ngumu sana kwa waajiriwa kutoboa, sio tu kwasababu mishahara midogo, pia kwasababu maboss zetu hawataki kabisa tutoboe. Maboss wote mliopo humu, mkumbuke na nyie mlikua chini, ukiweza wasaidie waliochini yako. Otherwise na wewe wale wale tu!
Mimi nimeoma hapo tu una access ya 50m kirahisi na bado unaamini kutoboa haiwezekani. Mke wangu anafanya kazi taasisi moja ina mikopo nafuu mikubwa sana. Huwa namwambia kazini kwenu mtu akiwa masikini kajitakia.
 
Huu ni ukweli wa miaka yote na duniani kote! Huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya kuajiriwa!! You are given just enough for your survival ili uendelee kutumika!
Nguvu zikiisha unakaa pembeni/inastaafu!
Waajiriwa ni watu wasiokuwa na maono ya binafsi! Wanatumikia maono ya mwingine@ Siyo mbaya japo huo ndio ukweli!!
 
Siku zetu zimekaribia tukutane kwenye ule uzi wetu! Natenga kabisa fungu la kutosha kwenda kuangalia EPL final day jumapili ya tarehe 24
 
Back
Top Bottom