Mabeberu ndio wafadhali wakubwa wa bajeti ya Serikali zote za Ccm toka tupate Uhuru.Hao mabeberu ndo hupendwa na CHADEMA. Hii nchi bila CCM imara itakuwa kama DRC au Zambia. Hiyo UN ilikuwa inaweza zuia mauaji ya Lumumba na Rwanda genocide ila haikufanya kitu kwa makusudi kabisa. Cha kushangaza chama cha siasa nchini kwetu ndo kimbelembele kudhani kwamba hao mabeberu wataisaidia nchi hii na demokrasia yao ya kihuni.
Hii Dunia unyama dhidi ya jamii nyingi umefanyika hata historia ya Marekani inaonyesha namna wahindi wekundu walivyofanyiwa ukatili....Kuna siku mabeberu na wao watajutia hilo.Hii Dunia Ina sehemu zimejaa mali za thamani kubwa kuliko huko Congo DR lakini zipo katika hali ya amani. Sababu kubwa ya umwagikaji wa damu DRC ni malipizi ya karma juu ya damu za mbilikimo waliouwawa na wabantu during Bantu Great Migration. Kwenye ardhi ya DRC pamoja na utajiri wa madini, Kuna damu za mbilikimo zinazolilia kisasi cha damu. Auwae kwa upanga naye hufa kwa upanga.
Hata uivunje mara million watu wataendelea kuuanaTuanze na kesi ya Sudan
Inatakiwa Blue Nile state iwe nchi
Inatakiwa Darful iwe nchi.
Hii itapunguza vita za kuimpose Islamic culture na religion.
Kongo imara ni tishio
Kwa nchi za afrika mashariki
Inatakiwa ivunjike kwenye nchi Tano au zaidi.
Hii ni kwa maslahi mapana ya afrika mashariki
Wazungu wauaji wakubwaWazungu Wapo kimaslahi hawana utu hata kidogo.
Maslahi mapana ya Africa Mashariki ni yapi ?...Tuanze na kesi ya Sudan
Inatakiwa Blue Nile state iwe nchi
Inatakiwa Darful iwe nchi.
Hii itapunguza vita za kuimpose Islamic culture na religion.
Kongo imara ni tishio
Kwa nchi za afrika mashariki
Inatakiwa ivunjike kwenye nchi Tano au zaidi.
Hii ni kwa maslahi mapana ya afrika mashariki
Afrika tunapenda kutafuta scape goat ya kulaumu mabeberu tu kwa kila failure yetu.Nakubaliana na hoja yako ila ni kweli matatizo ya kukosekana amani huko Drc (hasa maeneo ya Kivu) ni mabeberu pekee na makampuni yao ndio wakulaumiwa?..
zitto junior Tresor Mandala JokaKuu
Sahihi kabisa na hili ni kwa nchi nyingi za Africa.Hapo DRC wazungu tayari wana mikataba mikubwa ya kuvuna gesi, dhahabu, cobalt n.k sioni sababu ya wao kuanzisha vita ili kuvuna rasilimali.
Wali retain? Unajua 80% ya total population ya Red Indians walifanyiwa genocide?? Au hujui hata wabelgiji walihusika na vifo vya 50% ya Zaire yote kwa starvation, magonjwa na mauaji!! Hapo sijaongelea genocide ya Herero na Nama ambapo zaidi ya 60% ya waNamibia waliuwawa kwa sumu kumwagwa kwenye vyanzo vya maji.Ukiona hivyo ujue kilichotokea Congo kilikuwa kikubwa kuliko America. Sometimes wazungu wana utu sana, angalia walivyochukuwa watu weusi Africa na ku retain vizazi vyao hadi sasa. Hata hao Red Indiana hawakuuwawa kikatili. Wengi wao walikufa kutokana na magonjwa yaliyoletwa na wazungu na hata sasa kizazi chao bado kipo.
Kwamba karma hizo zinaipata tu congo?Hii Dunia Ina sehemu zimejaa mali za thamani kubwa kuliko huko Congo DR lakini zipo katika hali ya amani. Sababu kubwa ya umwagikaji wa damu DRC ni malipizi ya karma juu ya damu za mbilikimo waliouwawa na wabantu during Bantu Great Migration. Kwenye ardhi ya DRC pamoja na utajiri wa madini, Kuna damu za mbilikimo zinazolilia kisasi cha damu. Auwae kwa upanga naye hufa kwa upanga.
Kama wazungu ni heartless waarabu utasemaje?Wali retain? Unajua 80% ya total population ya Red Indians walifanyiwa genocide?? Au hujui hata wabelgiji walihusika na vifo vya 50% ya Zaire yote kwa starvation, magonjwa na mauaji!! Hapo sijaongelea genocide ya Herero na Nama ambapo zaidi ya 60% ya waNamibia waliuwawa kwa sumu kumwagwa kwenye vyanzo vya maji.
So wazungu ni heartless tu
Mungu aepushie mbali kabisa.Hivi madini hayo bongo hamna?
Wakoloni wote tu ni wabaya sielewi kwanini tunaonaga wazungu ndio wastaarabu.Kama wazungu ni heartless waarabu utasemaje?
Umeanzia mbali, sema tu wazi unawapenda kutokana na imani yakoKama wazungu ni heartless waarabu utasemaje?
Sio DRC peke yake, nchi zote za Afrika, tatizo UJINGA.Simu, tablet, au laptop unayotumia kusoma ujumbe huu hivi sasa. Betri yake inayowaka hapo ndani haingeweza kufanya kazi bila madini mawili ya ajabu: Cobalt na Coltan.
Zaidi ya 70% ya madini yote ya Cobalt duniani yanatoka sehemu moja tu: Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Bila madini haya kutoka Congo, makampuni makubwa zaidi ya teknolojia na magari ya umeme duniani (kama Apple, Tesla, Samsung, na Google) yatasimama kufanya kazi ndani ya masaa 24.
Lakini jiulize swali hili la msingi: Kwa nini nchi yenye utajiri wa madini yenye thamani ya zaidi ya Dola Trillion 24 chini ya ardhi, inabaki kuwa nchi yenye umaskini wa kutisha na vita visivyomalizika kwa zaidi ya miaka 30?
Vyombo vya habari vya kimataifa vitakuambia ni "chuki za makabila" au "udhaifu wa serikali." HUU NI UONGO WA KUSANIFU.
Ukweli uliojificha nyuma ya pazia ni huu hapa: AMANI NCHINI CONGO NI ADUI WA BIASHARA YA MABILIONI YA DOLA!
1. MBINU CHAFU ZINAZOTUMIKA KUIPIGISHA CONGO MAGOTI:
Amani Inaleta Kodi na Sheria: Siku Congo ikipata amani na utulivu, serikali itaweka sheria kali za kuzuia unyonyaji, kodi za haki, na usimamizi wa kimataifa kwenye migodi. Hii ina maana makampuni ya Magharibi na Mashariki yatalazimika kulipa mara 10 ya bei wanayolipa sasa hivi kupata Cobalt.
2. Kutengeneza Waasi: Ili kupata madini kwa bei ya "kutupa," makundi ya kibiashara ya kimataifa na madalali wa silaha wanagharamia zaidi ya makundi 100 ya waasi mipakani. Vita vikilipuka, wananchi wanakimbia, na madini yanavunjwa na kutoroshwa usiku wa manane kupitia njia za panya bila kodi wala ukaguzi wowote.
Watoto wadogo na kina mama wanachimba madini hayo kwa mikono wakiwa chini ya mitutu ya bunduki, wakilipwa chini ya dola 2 kwa siku moja. Madini hayo hayo yakifikishwa Ulaya, Marekani, au Asia, yanazalisha mabilioni ya dola ya faida.
Dunia nzima sasa hivi inapigia kelele teknolojia ya "Green Energy" na magari ya umeme ili kuokoa mazingira... Lakini ukweli mchungu ni kwamba, teknolojia hiyo mpya "safi" inatengenezwa kwa kutumia damu, machozi, na maisha ya mamilioni ya wananchi wa Congo waliotengwa na dunia.
Congo haikosI amani kwa sababu haina uwezo... inakosa amani kwa sababu ulimwengu unahitaji iwe kwenye ghasia ili uendelee kupata teknolojia ya bei nafuu!
Unadhani siku viongozi wa Afrika watakapoungana na kupiga marufuku usafirishaji wa madini ghafi kwenda nje, ndio utakuwa mwanzo wa amani ya Congo? Au mabeberu watatafuta mbinu mpya ya kumpindua kila kiongozi atakayejaribu kuweka amani?
Kama alivyouawa Patrice Lumumba....!?
Umeanzia mbali, sema tu wazi unawapenda kutokana na imani yako
Na kama ulivyoelezwa hapo juu, unyama waliofanya wazungu afrika, mwarabu akasome
Nasubiri ubishe , nianze kushusha evidence
***** naona dogo anakufira vizuri umefungiwa ndani ndio amekuachia muda huuView attachment 3668766
ππ wewe ni matako