Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 2,950 Reaction score 4,285 Sep 12, 2026 #61 Bwana Utam said: Africa kusini wazungu hawaindami sababu kuna wenzao pale Kuna sehemu mpaka leo hii 2026 sijaona ila nasikia waafrika weusi hawaruhusiwi kufika Yaani Africa kusini ni yawazungu basi tuuuu Click to expand... Kwanza kuna uzio mkubwa mno. wao wazungu wamejikatia upande wa beach
Bwana Utam said: Africa kusini wazungu hawaindami sababu kuna wenzao pale Kuna sehemu mpaka leo hii 2026 sijaona ila nasikia waafrika weusi hawaruhusiwi kufika Yaani Africa kusini ni yawazungu basi tuuuu Click to expand... Kwanza kuna uzio mkubwa mno. wao wazungu wamejikatia upande wa beach
Paroco JF-Expert Member Joined Dec 24, 2017 Posts 3,418 Reaction score 13,000 Sep 12, 2026 #62 We umejua leo!!? Walikosea kumuua Lumumba kwa dharau kiasi kile!
Mme Mwenza JF-Expert Member Joined Feb 6, 2025 Posts 2,950 Reaction score 4,285 Sep 12, 2026 #63 Inawezekana hata ugonjwa wa EBOLA congo ni wa kimkakati.
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 8,483 Reaction score 15,441 Sep 12, 2026 #64 Makebo said: Umeanzia mbali, sema tu wazi unawapenda kutokana na imani yako Na kama ulivyoelezwa hapo juu, unyama waliofanya wazungu afrika, mwarabu akasome Nasubiri ubishe , nianze kushusha evidence Click to expand... Sina Imani yenye uhusiyano na mzungu. Waarabu makatili sana.
Makebo said: Umeanzia mbali, sema tu wazi unawapenda kutokana na imani yako Na kama ulivyoelezwa hapo juu, unyama waliofanya wazungu afrika, mwarabu akasome Nasubiri ubishe , nianze kushusha evidence Click to expand... Sina Imani yenye uhusiyano na mzungu. Waarabu makatili sana.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 14,029 Reaction score 34,441 Sep 14, 2026 #65 Mtu mweusi atashika bunduki ataua Mweusi mwenzake lawama watapewa Wazungu. Mwarabu na Mtu mweusi akili zao zimefanana isipokuwa Mwarabu ni Mzalendo na yuko tayari kufa kwa ajili ya nchi yake.
Mtu mweusi atashika bunduki ataua Mweusi mwenzake lawama watapewa Wazungu. Mwarabu na Mtu mweusi akili zao zimefanana isipokuwa Mwarabu ni Mzalendo na yuko tayari kufa kwa ajili ya nchi yake.